Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa.
Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank?
Kesi hiko hivi,
Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita...
Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari.
Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu...
Ukiachana na TECNO SPARK 40 Kuna simu nyingine inaitwa TECNO SPARK 40 PRO ambayo kampuni ya Tecno waliweza kuitangaza kupitia page Yao ya @tecnomobiletanzania
Sasa usichokijua kuhusu simu hii...
Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe.
Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa wanaopinga fundisho la utatu yaani Mungu mmoja ndani ya watatu unaendelea kwa kasi ndani ya kanisa la Wasabato
Hivi majuzi mchungaji mmoja huko Ethiopia...
Wakuu,
Hapa simaanishi kuwa wale wanaofanikiwa kupata elimu nje ya nchi wapewe Upendeleo. Nachomaanisha ni kuwa kwa vijana wanaofanikiwa kujiendeleza kielimu nje ya nchi hasa katika nchi...
Ni jambo la kusikitisha sana kuona jinsi Manispaa ya Kibaha inavyowakandamiza Wajasiriamali wadogo, akina mama ntilie, wauza nyanya, matunda, vitunguu, na bidhaa nyingine ndogondogo, wanaopanga...
Wanabodi.
Kuna wizi wa pesa unafanywa na Vodacom kupitia huduma yao ya MPESA.
Ukiwa unanunua LUKU, hela kwenye account yako inakatwa lakini TOKEN ya LUKU hupati. Ukijaribu kuwapigia "Customer...
Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia...
Tanzania imeshika namba 5 Kwa Utalii Afrika mwaka 2024 kutoka namba 7 mwaka 2023.
Mafanikio haya yametokana na juhudi za Serikali ya Samia kutangaza Utalii Kwa njia mbalimbali lakini njia...
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025...
Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri
Je umewahi kutafakari kwa nini mapigo yote 9 aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwa nini lile pigo la 10 la kufa wazaliwa wa kwanza...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na...
Katika biblia, kuna habari ya wana Israel chini ya Musa waliokuwa wanaomba ruhusa kwa FARAO, ili waende nchi ya ahadi. FARAO alikataa pamoja na kupewa mapigo kadhaa lakini hakutoa ruhusa. ndipo...
Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
Salaam, Shalom!
Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk.
Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na...
Rejea Kitabu cha Tobit. Huwezi zuia mahusiano baina ya Majini na na Wanadamu kwani ni viumbe wa Mwenyezi Mungu "Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia...