Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini. Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Jionee mwenyewe, utatamani nawe uende hijja:
11 Reactions
83 Replies
5K Views
Nimesikia wakijijitetea kuwa kampuni ya X ambayo zamani ni twitter kuwa imejiondoa ila cha kushangaza hapo mwanzo kwa nini kama mamlaka ya mawasiliano mkutoa tangazo kuwa imejiondoa. Kwa uwezo...
2 Reactions
3 Replies
266 Views
Ila watu wa pale wanaheshimu sana wanafunzi, unaweza ukapishwa seat na mtu size ya dingi yako, kisa tu umevaa t-shirt la lindi seko. Lindi seko ilikuaga poa sana, ni bweni lakini ukiwa mzembe...
22 Reactions
92 Replies
4K Views
Tarehe 4 mwezi wa pili 2020 nikiwa katika msongo wa mzito wa mawazo yaliyotokana na ugumu wa maisha nilijikuta nafanya maamuzi magumu bila kutarajia. Nilikuwa nakaa gheto maeneo ya buguruni sheli...
118 Reactions
1K Replies
339K Views
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena...
17 Reactions
60 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya...
1 Reactions
8 Replies
721 Views
Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya...
4 Reactions
13 Replies
837 Views
ZAWADI: Kaka Magical Power, naomba ushauri tafadhali, usinipuuze 🙏 MAGICAL POWER: Sawa, sema dada. Upo salama? ZAWADI: Sina amani kabisa. Mume wangu wa ndoa miezi mitatu, amebadilika ghafla...
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya...
2 Reactions
13 Replies
503 Views
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL...
6 Reactions
14 Replies
921 Views
Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi...
7 Reactions
120 Replies
5K Views
Isa 26:9 SUV [9] Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki. Sio...
1 Reactions
0 Replies
279 Views
Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tatizo la ajira limewakumba graduates wa Marekani mpaka kusababisha vyuo vikuu kuanza kukosa wanafunzi wengi tofauti na zamani. Kumbe hata majuu watu wanakimbilia VETA zao za huko, maana degree...
0 Reactions
5 Replies
357 Views
Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL)...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
  • Closed
guest-1787677726
Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI...
5 Reactions
262 Replies
8K Views
Hallow Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf. (1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…