Ni sahihi kabisa kumtafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni, ingawa uamuzi huu ni unaweza kuchukuliwa kama ubnafsi na unategemea mambo mengi.
Watu wengi huchagua kuwatafuta wazazi walio...
Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila.
Tazama video hapa👇
Habari za Muda huu....
Nimeona kuna haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu maandishi ili wapate maadili na ufahamu zaidi juu ya chochote kinachohusu mustakabali wa wanayo yahitaji hapo...
Haya maeneo yana ndugu wa Imani ya Kiislamu wengi na ni maeneo tulivu mazuri kuishi.
Buguruni kwa mnyamani
Tandale yote
Manzese yote
Ilala
Magomeni
Kinondoni
Mwananyamala
Temeke
Mburahati
Tandika...
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.
Tukio Hilo...
1. UTANGULIZI
Udalali "Winga" ni Nini?Udalali "Winga" ni aina ya udalali unaofanyika Kariakoo ambapo mtu anapata wateja wa bidhaa mbalimbali bila kuwa na duka au ghala la kuhifadhi mzigo.Dalali...
Quran ni kitabu chenye muongozo na mafundisho ya dini ya kiislam ni ufunuo kutoka Kwa Mungu muumba Mbingu na aridhi kupitia Kwa mtume wake Muhammad (s,a,w)
Kadiri binaadamu wanavyopata ufuhamu wa...
Biblia inasema:Maji yalizidi juu ya mlima mrefu(Mt Everest?) kwa dhiraa 15(mita 7) (Mwanzo 7:20)
Ilikufunika hadi kilele cha Everest dunia ingehitaji maji ya ziada kiasi cha takribani kilomita za...
Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto?
Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu...
Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii?????
Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au...
Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu...
Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.
Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati...
Kanuni za dunia tunayoishi sio rahisi kuzielewa na wakati mwingine inachukua muda hasa baada ya kupitia mengi. Sasa nimeelewa ukweli wa kanuni hii "Every mistake has consequences".
Hakuna kosa...
Hili dude huwa naliona sehemu mbalimbali mitaani.
Watu wanapataje faida na hasara kwa biashara ya hili dude maana sijawahi kulielewa naona watu wanalichezeachezea tu wengine wanatoka wamefurahi...
Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza...
Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wanaosema kwamba vitabu vya Injili vina makosa, vimejaa contradiction, na haviaminiki — lakini hao hao ndio wanatumia muda wao mwingi kuvisoma, kuvichambua...
Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza
Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo...
August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama.
Mimi...