Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Tangu ongezeko la tozo kwa mitandao ya simu, mawakala wengi hususani Tigo Pesa na M Pesa wamekua wakigoma mtu kutoa pesa akiwa nje ya eneo la ofisi zao. Jamaa yangu alikua anataka kunitumia pesa...
2 Reactions
46 Replies
55K Views
Katika umri wako ni kitu gani cha maana chenye gharama kubwa unachomiliki? Naanza na mimi simu ya milioni mbili. Sijui wewe.
16 Reactions
162 Replies
5K Views
Unajua wakati mwengine hawa mawakili wanachekesha sana, kweli pale utasema kasukumwa au kaondolewa. tuache kuokoteza mambo yasiyo ya msingi. Wakikili Dkt Nshala aache siasa, afanye kazi ya...
0 Reactions
4 Replies
370 Views
Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku? Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
11 Reactions
195 Replies
36K Views
Kuna mtindo umezuka siku hizi wa vijana na wanaume usiku wakishakunywa pombe na kulewa hawaendi nyumbani bali wanajilaza Kwa kulalia tumbo pembezoni mwa barabara na Mahali ambapo hamna mwanga...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Anonymous
Naomba Serikali ijenge kituo kikubwa cha daladala katika stesheni ya SGR Dodoma, abiria tunalazimika kutumia gharama kubwa kufika stesheni.
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Na nukuu kauli yake Sam Altman CEO wa chatgpt ambapo kuna mswaada mkubwa sasa GPT kuingia mpaka kwenye mfumo wa kimahakama kuchakata vifungu kunaweza kuwa weka wazi ambao wakiamini kuwa GPT ni...
1 Reactions
6 Replies
598 Views
Je Ni mzuri wa kivuli haupukutishi matawi ovyo ovyo, unakuwa haraka, maua yake hayatoi harufu kali, etc,? Karibuni
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Mmiliki wa Hoteli ya kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Waliokuwa karibu na Ndg. Shebby wanadai...
11 Reactions
213 Replies
38K Views
je ungekubali Dar es Salaam irudishwe jina lake la zamani? Mzizima?
0 Reactions
5 Replies
360 Views
Tunafahamu kwenye universe kuna sayari nyingi sana, nyota, satellite za asili, vimondo n.k Hakuna mwenye hatimiliki ya space ni ya wanadamu wote bila kujali rangi yao Nikiwa Rais wa Tanzania...
3 Reactions
25 Replies
865 Views
Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!.. Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika...
10 Reactions
52 Replies
5K Views
Anonymous
RITA inachelewa kutoa vyeti ya kifo vya wazazi, hii imekuwa changamoto kwa sisi ambao wazazi walipoteza maisha miaka mingi iliyopita, wakati huu tunapohitaji kujiunga na elimu ya juu vyeti hivyo...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku. Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa...
13 Reactions
177 Replies
5K Views
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali...
13 Reactions
207 Replies
8K Views
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo. Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran...
8 Reactions
135 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…