Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu? Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali...
1 Reactions
10 Replies
480 Views
guest-1788672427
?
1 Reactions
9 Replies
363 Views
Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars. Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno...
5 Reactions
10 Replies
846 Views
Mwanza, mkoa wa pili kwa ukubwa Tanzania na kitovu cha biashara cha Kanda ya Ziwa, hauna chuo kikuu cha umma kinachoeleweka vizuri. Hili ni jambo la kushangaza na linalotia shaka, ukizingatia...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
(Shuka chini kusoma kwa kiswahili) A new report from the World Economic Forum (WEF) has raised serious concerns about how AI is affecting people’s mental health, especially young adults and...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa...
6 Reactions
5 Replies
520 Views
Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Ulinzi kwenye maisha ni kitu muhimu sana ndo maana hata kwenye masuala ya Imani tunaambiwa tusome nyiradi Mbalimbali ili kuweka ulinzi kwenye nyumba na mwili wako maana mambo ya kutisha na...
0 Reactions
6 Replies
404 Views
Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane Hizo rockets...
2 Reactions
7 Replies
559 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaendelea kung’ara katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma kwa kutoa huduma za...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
3 Reactions
8 Replies
461 Views
Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake. Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko? Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa...
0 Reactions
7 Replies
317 Views
Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal Aliyefariki Tawfiq...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano...
2 Reactions
2 Replies
251 Views
Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa...
1 Reactions
4 Replies
895 Views
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
7 Reactions
96 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…