Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mkoa wa kagera maisha ni magumu na hali ni ngumu sana yaan watu hawana hela kabisa
Biashara zimedolola sana...
Habari wakuu,
Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe"
Wakuu hii tabia ya CRDB...
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta...
Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na...
Kwako Robert
Pole na masahibu unayopitia. Lakini hupaswi kuonewa huruma hata chembe. Umedhulumu wengi sana, Umeumiza wengi pia. Lakini ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Naamini unamfahamu vema...
Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma...
Habari,
Nina mtoto nimemlea kwa takriban miaka miwili hivi, nampenda sana uyu mtoto na ndo mtoto pekee nilienae kwa sasa ila njia ya mama yake na yangu zimeenda tofauti na kila mtu na maisha...
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuwa makini katika kuripoti taarifa za uchaguzi, hususan katika zama za teknolojia ya akili bandia (AI) ambazo zimeongeza kasi ya usambazaji wa taarifa...
Naenda kwenye mada moja kwa moja!
Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu.
Moja hamna mkataba wa maandishi...
Kuna kitu mpk leo najiuliza perform ya dogo ukimuona ni kweli alikuwa anajitambua kabisa kwa sasa naigiza au nyingi NI edit Tu za computer kumbuka movie unatoka hata ai tools ilikuwa bado kuanza.
Yuda Iskarioti akajibu “ Nitakayembusu huyo Ndiye “
Walipofika kwenye Mlima wa mizeituni Yesu Kristo akamuuliza Iskarioti “ Yuda unamsaliti mwana wa Daudi kwa kumbusu?”
Yesu alijitambulisha kwa...
Siku hizi, baada ya sera mbaya ya ushuru ya Marekani kusababisha hasira kubwa kwa jamii ya kimataifa ikiwa ni pamoja na bara la Afrika, kuna vyombo vya habari vya magharibi vimeanza kuzungumza...
Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa...
Nilifanya biashara alafu NIKAACHA, almost five years ago
Sasa nataka kupata tax clearance certificate haraka ikiwezekana nikwepe ILO deni
Je vishoka wanaweza kunisaidia
Kama walivyo nisaidia...
Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si...
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design...