๐ก Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฐ๐ฌ ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฒ๐ wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
๐ธ Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu...
Habari za muda huu Mjumbe ๐
Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza...
Kuna wizi mkubwa Sana inafanyiika kwenye tozo za parking za Magari. Nmefanya kijiuchunguzi na kugundua Aina ya wizi unavyofanyika.
1. Kuna risiti za Aina mbili za Tsh 500 na za Tsh. 300
2. Tozo...
Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana...
==
Mkuu wa mkoa Tbaora anasema Serikali imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora (2021โ2025) na kufanikisha: uzalishaji kuongezeka kutoka tani 0.34 (2020) hadi 0.8 (2025).
Mapato ya kigeni...
Rais Samia aimarisha Sekta ya Nishati Tabora kwa TZS353.73bn, vijiji vyote 722 vimeungabishwa na Umeme
Katika kipindi cha 2021 hadi 2025, Serikali imetekeleza miradi ya nishati yenye thamani ya...
Waliokuwa Mashemasi wa Jimbo Katoliki Bunda Moses Ochogo na Anthony Suka wapewa daraja la. Upadre
Mhashamu Simon Chibuga Masondole, Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda ametoa Daraja Takatifu ya...
Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao...
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya...
Tanzania manabii wamekuwa wakiongezeka kila siku na nabii zao
Polepole naye Polepole ageuka kuwa Nabii asema Yesu atarudi duniani mwaka 2042 .Msikilize hapo...
Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu...
Siku ya Jana ilikuwa mbaya mno, hakika sijawai honja shubiri ya kusubilia msafara wa mtafuta wadhamini wa ugombea uraisi kama Jana.
Hatumkatai kuwapisha wagombea mathalani Hasa Hawa watemebea na...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa...
Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!!
Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa.
Huyu...
Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha...
Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi:
Ajira na Nafasi Alizoshika
1...
Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ujumbe huu uwafikie haraka na mchukue hatua za kinidhamu na za haraka kwa baadhi ya vituo vya mafuta kujiingiza kwenye mchezo mchafu...