Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
REA YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA BILIONI 4.37 KWA JESHI LA KUJENGA TAIFA 📌JKT yaipongeza REA utekelezaji wa miradi ya nishati safi 📌REA yaiwezesha JKT asilimia 76 ya miradi ya nishati...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Nikiwa Rais katika mambo ambayo ntafanya ni kutengeneza miundombinu ambayo itarahisisha mega-events kufanyikia Tanzania Mfano wa hizo mega-events ni kama FIFA WORLD CUP- Maboresho makubwa sana...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Tujikumbushe watu maarufu wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo waliotutoka mwaka 2024
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kauli ya “No Reform No Election” iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekuwa gumzo kubwa kwenye medani za siasa za Tanzania. Wafuasi wake wanasema ni msimamo thabiti wa...
1 Reactions
6 Replies
384 Views
Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi. Ni vizuri serikali kupitia waziri...
9 Reactions
18 Replies
735 Views
Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi. Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu. Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara)...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti: Kanda ya Ziwa unaitwa...
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Tarumbeta ya wachawi inayoamsha mizimu na wafu Mti huu wa ajabu hutengeneza maua yake kama tarumbeta ndiyo maana baadhi ya nchi huuita tarumbeta ya wachawi ama tarunbeta ya kuzimu Mmea huu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Askari kama hawa Tanzania hii bado wapo au ndio magugu yamemeza mbegu? Soma pia: Watu wema bado wapo
3 Reactions
4 Replies
509 Views
First off there are over 8 million people in NYC. So it’s very competitive. There are many very smart people here. Smarter than you. There is a tremendous amount of creativity here, art...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Anonymous
Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu. Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe. So kama bonus inafanya tukose hudumu bora...
4 Reactions
10 Replies
588 Views
Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala...
5 Reactions
75 Replies
2K Views
"Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho."...
12 Reactions
94 Replies
3K Views
Wataalamu hii imekaaje? huyo house girl anaonewa au ni sawa kufua nguo za ndani za Boss wake?
2 Reactions
7 Replies
491 Views
Kumekuwa na kilio kwa Wakandarasi kutolipwa kwa wakati huku wakimaliza kazi zao na kukaguliwa na mamlaka na kuthibitisha kuwa kazi zao ziko sahihi na wanatakiwa walipwe. Ikumbukwe kuwa Bunge...
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na amani tuliyonayo. Mimi ni mfanyakazi wa kampuni X ni mwajiriwa, kutokana na kipato kidogo ninacho kipata naona kabisa hapo badae...
3 Reactions
44 Replies
11K Views
Akizungumzia kuhusu mada ya maboresho ya sera na kisheria, amesema Asasi za Kiraia zina nafasi ya kipekee katika maendeleo ya taifa kwa sababu ndizo zenye uelewa wa moja kwa moja wa mahitaji ya...
0 Reactions
11 Replies
507 Views
Biblia inasema malaika alimwambia yule bwana aliyejiwekea malengo’ mpumbavu wewe Leo usiku wataitaka roho yako’ Malengo ya Adam yalikuwa mikononi mwa Mungu wa mbinguni mwenyewe ila yeye Adam...
1 Reactions
3 Replies
277 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…