Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja .
Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz
Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa...
Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa.
Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia...
Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amezungumzia kuhusu matumizi ya Artificial Intelligence (Akili Unde), msikilize akifafanua jinsi gani suala hilo linavyoweza kuwa hatari kwa...
Hii ni Tahadhari tu Kwa wanaume na uzuri mama yetu Gwajima yupo humu ndani basi atapitia hapa maana nimethibitisha watu wanaofungwa kwa kesi za kubaka wengine waliingizwa mtegoni pasipo kujua...
Kodi ya michezo ya kubahatisha imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 131.99 kwa mwaka 2020/21 kufikia Shilingi bilioni 260.21 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la asilimia 97
Hayo yamesemwa na Kaimu...
Ahsante Mh. Japho unafanya kazi nzuri, angalizo weka mkazo wawekezaji wasije tu kutumia mali ghafi na chieap labour halafu wanaandike bidhaa main in China au sehemu nyingne kama kimetengenezwa...
"Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa...
TANZANIA imebahatika kuwa na hifadhi 21 za Taifa zenye vivutio mbalimbali vya utalii ambavyo baadhi havipatikani katika hifadhi za nchi zingine Afrika Mashariki na kwingineko.
Hifadhi ya Taifa ya...
Dk mwinyi kutembelea fumba ambapo uwanja WA KISASA utajengwa KULE ni nooouma. Bara ukiacha ARUSHA na Dodoma inabidi ipate viwanja vingine WALAU. Dk mwinyi HUYU aje bara nawambia maendeleo...
Geneva of africa is fall down
Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia...
Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA mtandaoni haufanyi kazi. Kila Receipt Verification Code inayowekwa inaonyesha “risiti haitambuliki”.
Kama risiti haziwezi kuthibitishwa, imani yetu katika jinsi...
Wanajukwaa habari za asubuhi.
Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata
1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI
2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI
3.WAZURI HAWAFI
4.KIFO NI KIFO TU
Karibu kwa...
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923.
Kwa bahati mbaya hatuna sokoni tafsiri hii...
Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya...
Wakuu,
Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35
Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika...