Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kufanya ibada maalumu eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 na wameiomba Serikali kuweka mnara wa kumbukumbu...
Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.
Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina...
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
Katika maisha ya kila siku, tumekuwa tukisikia au kuona watu wakisema:
"Mimi ni Libra, ndiyo maana napenda amani,"
au
"Watu wa Scorpio ni wagumu kueleweka."
Lakini swali linabaki:
Je...
Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika
Biblia hushuhudia kwamba imani ya Wakristo ina msingi katika ukweli, kufikiri, ujuzi, na uthibitisho (Warumi 1:20; Zaburi 19:1-4; Yohana 5:31-47; Matendo...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yenye Mifuko 756 yenye uzito wa jumla wa kilogramu 18,485.6...
Amechezesha ligi kwa vijana mtaa kwa mtaa na jezi,kawatembezea wenyeviti na wajumbe umande kwenye ukame, vijana wazee ni Boka Bokaa, hii michezo ya wajumbe kaiweza au tusubirie kauka patupa tia...
Swala la follen katika Daraja la Mabitini Mwanza limekuwa kikwakwazo Cha kuchelewesha watu katika shughilii zao mbali mbali maana inachukua masala matatu KUTOKA kisesa, BUSWELU, ilalila , Kishiri...
Katika kila nchi kuna watu wanahangaika na kupambana kila siku ili wawe na maisha ya raha na furaha. Hata hivyo hakuna nchi yoyote duniani ambayo watu wake wote wamefaulu kuwa na furaha na raha...
Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba...
Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka...
Salaam.
Natambua kabisa wapo Mama na Baba wa Kambo ambao, wana upendo na wamekuwa watu wema kwa watoto wanaowalea wakiwemo yatima. Hakika, wanastahili Pongezi.
Wapo sasa wale Baba na Mama wa...
Mke wangu ni mjamzito, nilienda nae Zahanati ya Kata ya Ihumwa (Zahanati ya Ihumwa) iliyopo Dodoma Mjini kwa ajili ya clinic ya kawaida.
Wakasema kuwa ili upimwe Malaria unapaswa ulipie gharama...
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira.
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa...
Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi...
Salute wakuu,
As per title hapo juu, Ulishawahi kuachwa na ndege ugenini? Ilikuaje na Ulifanyaje? Let’s share experience.
Back in 2014 nikiwa chuo mwaka wa pili nchini Oman kwa His Excellency...
Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa.
Kuna kijana...
Ukitaka kujua wachina wanavuta sigara fanya nao kazi hata siku moja yaani NI bandua bandika kwa wastani ndani ya dakika 10 anavuta sigara zaidi ya 3 sasa nauliza mbona ukiangalia afya zao NI njema...