Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo wakati akizungumza na ITV amesema, Serikali ya Tanzania imesema haijawafukuza na wala haina mpango wa kuwafukuza wafanyabiashara wa nje ya nchi...
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu...
Wadau habarini za muda huu kuna tatizo gani mbona ni wiki 2 inaisha tunashindwa kununua Hisa za CRDB nimewasilina na DSE na broker Mara zaidi ya 5 wanasema shida ni kwenye market hivyo wataalamu...
Barabara zetu Tanzania ni nyembamba hivyo kuleta kusababisha ajari nyingi sana.
Ushauri: Barabara kuu zote zijengwe njia 4 [ mbili upande huu na mbili upande ule ]. Hii itasaidia sana kupunguza...
Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira.
Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend.
I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was...
Vodacom Tanzania Yasherehekea Miaka 25 ya Mafanikio na Wananchi TemekeVodacom Tanzania imeadhimisha miaka 25 ya kuwahudumia Watanzania tangu kuanzishwa kwake katika hafla iliyofanyika Agosti 15...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Tukio hilo limetokea Kilimanjaro
Inauma sana dunia tulikofika kwa sasa
Kilimanjaro imekuwa mbaya Zaid ya Geita na Tabora kwa...
Hofu kubwa imetanda kwa wananchi wa Kijiji cha Mbatakero,Wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa...
Habari ndugu jamaa na marafiki wa hapa jukwaani.
Ni siku nyingine tena tulivu kwenye uso wa dunia iliyojaa karaha, raha na makasiriko ya kila aina!!
Sote tunajua kuwa maisha ni safari ndefu sana...
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote
NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani...
Mara nyingi, ukipoteza kitu ndio unajua thamani yake! Huwezi kujua sana thamani ya macho yako mpaka uwe kipofu kwanza.
Ukipoteza uono, yaani macho yako yasipoweza kuona kwa muda mrefu, kisha...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO katika ukumbi wa...
Mama wa kijana aitwaye Taramaeli Emanuel, anayedaiwa kumuua mke wake Martha Pius mkoani Arusha, ameongea kwa huzuni kubwa akieleza mawasiliano yake ya mwisho na mwanae
Amesema mara ya mwisho...
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee...
Huu ni Ujumbe kwenu wote mlio hapa JF na kwingineko, hakuna rafiki mitandaoni, hakuna na wala hajawahi kuwepo.
Naunga Mkono Chadema lakini sina Rafiki hapa JF wala kwingineko mitandaoni eti kwa...