Adamu aliumbwa, ule udongo ukafinywangwa finywangwa kutengeneza body, akaweka veins hizo, arteries nk kisha akampulizia pumzi ndipo akawa ,ndio maana sisi binadamu wengine kupitia Adamu ndio...
Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God.
Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania.
Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu...
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti...
1. Mashahidi wa kujificha ni nini?
Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika.
2. Msimamo wa...
Watalii waliokuwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas visiwani Zanzibar wamepata mshtuko mkubwa baada ya kuporwa vifaa vyao vyote vya kamera na mali nyingine zenye thamani ya zaidi ya dola 12,750...
Habri gan ndugu zangu?
Naomba niwape kisa cha kweli kilichonitokea jana.
Usiku wa saa moja nilitoka mizunguko yangu bila mafanikio yaani jana sikuingiza hata mia, nikaingia ndani nikavuta kiti...
Hii nikwaajili ya kupeana habari zinazo husiana na issue yetu (Madini)
Kama we ni mchimbaji ama ni mnunuzi wa madini popote ulipo kwenye dunia hii unaweza kuchangia mada yoyote inayo husiana na...
Azam Tv kwa sasa ina operate kupitia satellite tv kwenye nchi 7 zifuatazo:
1.Tanzania
2.Kenya
3.Uganda
4.Zimbabwe
5.Rwanda
6.Malawi
7.Sierra Leone
Ila kwa kupitia Azam Max wanaiona dunia...
Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.
Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi...
Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho...
Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo...
🗯️ Kwa kuwa toleo jipya la Android 16 limeshatolewa tutegemee vifaa vingi vya android OEM kuweza kupokea toleo hili jipya kwenye vifaa vyao, Samsung wao teyari wameshatoa kupitia toleo jipya la...
Matatizo ya charger system yanazidi kushamiri🔥
Sikia bro
✅Inafaa ukichomeka charger walau simu i-vibrate
✅Ukiichomeka ikaze kwenye tundu la simu.
✅Vinginevyo; charger yako au charger system ya...
Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ?
Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next...
Hamjambo!
Mwezi wa Saba niliandika uzi Mmoja humu JF nikisimulia kero, na ushenzi na kukosewa adabu Kwa wanawake kwa kudhalilishwa wanapofika Sokoni, nikitumia Soko la Karume kama kielelezo na...
Huyu jamaa licha ya kwamba alikuwa akifanya kazi private lakini alisimama kidete kuwatetea madaktari wanaofanya kazi serikalini mishahara ipande.
Kama madaktari wangekaza mpaka sasa mshahara wa...
Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS...