Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
1 Reactions
7 Replies
526 Views
Kubadilika na kuanza kufanya matendo mema leo hakuwezi kufuta makosa uliyo yatenda kipindi cha nyuma.
4 Reactions
29 Replies
938 Views
Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita...
0 Reactions
6 Replies
498 Views
Habari ya asubuhi waungwana Dependency ratio inachukua nafasi kubwa sana Huku kwetu Afrika. Unaweza Kuta Mtu anapesa Ila kunae ndugu anaumwa, anasomesha mtoto wa marehemu shangazi yake, Anauguza...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye kua na roho mtakatifu na nia njema aje anifafanulie hapa nipate kujua bila ubishi huenda na mimi siku moja ntampata roho mtakatifu wa kweli. Mantiki ya imani kuwa Yesu alikuwa...
9 Reactions
235 Replies
6K Views
Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi? Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja...
12 Reactions
259 Replies
9K Views
1. Sehemu ya Wenye Haki Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu. Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima. 2. Sehemu ya Wenye Dhambi...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa...
1 Reactions
1 Replies
379 Views
DMZ kwa wanauchawa wa IT wa CCM sijui kama wanafahamu ila limegawanyika kimaana ila zote ni sawa.DMZ maana fupi ni usalama wa matandao.Kwa upande mwengine utumika kama mipaka (Demilitarized Zone)...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika...
2 Reactions
13 Replies
543 Views
Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa...
3 Reactions
12 Replies
689 Views
Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti, Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
1 Reactions
7 Replies
548 Views
Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa...
-1 Reactions
9 Replies
491 Views
Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
Isa 44:8 SUV [8] Msiogope wala msifanye hofu; je! Sikukuhubiri haya zamani na kuyaonyesha? Na ninyi ni mashahidi wangu. Je! Yuko Mungu zaidi yangu mimi? Hakika hapana Mwamba; mimi sijui mwingine...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
https://www.youtube.com/live/zLcYHnEHgXw?si=lf_sa3q9CnpinXkB Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Hoza Mrindoko, amesema: “Chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
10 Replies
533 Views
1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama Kuna kikundi kimekaa kama basi la kwenda kuzimu basi ni kile chama, chunguzeni watu wake , watafakalini maneno Yao, mtagundua wakimtaja Mungu hawamaanishi saana kama wanavyomtaja mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…