Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025)...
8 Reactions
127 Replies
3K Views
Nyie machawa, Hii ni kweli ? Mkongo wa mawasiliano: Tanzania kilometa 13,820, Kenya 13,590 na Uganda ni 10,200 tukisema Rais Samia ni Asset kwa Taifa muwe mnaelewa, NB, Leo nimeamua kujiunga...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;- Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge, Katika matangazo hayo...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
πŸ“Š TAFITI ZINAONESHA! βœ… 75% ni Wajasiriamali βœ… 15% ni Wawekezaji βœ… 7% ni Wanamichezo βœ… 3% ni Wasanii ❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu πŸ‘‰ Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Iko namna Watu kama hawa sio wa kuwaweka karibu.
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya...
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini...
0 Reactions
4 Replies
358 Views
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
5 Reactions
24 Replies
921 Views
Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto...
0 Reactions
9 Replies
706 Views
Dar es Salaam – Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao katika dini na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Sheikh Ilyasa Jamaa alipokuwa akihutubia swala...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani Ni hayo tu
20 Reactions
167 Replies
3K Views
Nawashangaa sana wa Afrika kwa ufinyu wa kufikiri , miaka ya hivi karibuni jeshi la Marekani limekuwa likitoa nafasi za kazi katika jeshi lao kwa watu wa mataifa mengine na wamekuwa wakitoa...
1 Reactions
11 Replies
566 Views
Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria...
0 Reactions
4 Replies
488 Views
Kwa Hivi Sasa katika Jamii kumekua na maongezi au Maneno mengi kuhusu wanawake kuitaji Kuhudumiwa. Kijamii za kiafrika, mwanaume napaswa kuihudumia Familia yako. Na mwanaume unatakiwa kutoa...
0 Reactions
5 Replies
447 Views
Chumba kimoja ninachoishi kimenikumbuka kuwa napoteza muda na maisha ya mjini; heri nirudi kijijini. Haiwezekani nina miaka 35 halafu bado naishi kwenye chumba kimoja. Ukiachilia mbali majirani...
24 Reactions
51 Replies
2K Views
Huu ndo ukweli, ukitaka kuamini lala ndani mchana kukiwa hujawasha feni au kiyoyozi au kukiwa hakuna umeme ndiyo utaamini maneno yangu Hili jiji ni vile wengine wanajikuta wamo na kutafuta hera...
19 Reactions
75 Replies
4K Views
Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…