Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia...
---
1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote
Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa...
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati...
Miaka kumi iliyopita nilikuwa na Mjonmba wangu akifanya Biashara zake Chanika huku anaishi Mbezi ya Kimara. Alikuwa na fedha kiasi fulani na familia yake ikiishi vizuri tu.
Kwa wakati ule alikuwa...
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.
Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi...
Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima...
Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa.
Tatizo...
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya...
Inamaana wajumbe /wabunge walioteuliwa au kuchaguliwa huko nyuma kabla ya bunge la sasa la wabunge wasomi wajinga,je hawa wote walikuwa wasomi?
"THE STORY OF THE TANZANIA PARLIAMENT : FROM THE...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2025 chini ya Rais Samia, Dhahabu zenye uzito wa gramu 1,301,842.81 zenye thamani ya shilingi...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko...
ARUSHA: TZS10bn zatolewa Kwa Walemavu, Vijana na Wanawake.
Akiongea na wanahabari mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Kenani Kihongosi amesema Rais Samia ameongeza zaidi ya mara 3 Bajeti ya Mikopo ya 10%...
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia...
Dominican Republic (Amerika ya Kaskazini, Caribbean) ni taifa la kipekee duniani ambalo bendera yake rasmi kabisa inaonyesha Biblia ikiwa wazi katikati ya nembo ya taifa.
Nembo hiyo iko moja kwa...
Wakuu,
Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla.
Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala.
Vyote...
Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli
Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya...
Katika hotuba mojawapo ya Mheshiwa Rais, Samia Suluhu Hassan leo imeonesha makundi muhimu katika kuuelimisha Umma yakiwemo ya Wanasiasa, Viongozi wa Dini lakini kundi mojawapo lililotajwa kwa...