Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli.
Uzi tayari
The Mongolian Savage
BICHWA KOMWE -
Maghayo
Ghayo TheMongo Barbarian
litutumbwe
Mufti kuku The Infinity
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa...
Kuna maswali huwa najiuliza bila majibu. Hivi kama kampuni ina jumla ya thamani ya shillingi Billion kumi, na ina jumla ya hisa 10 ( kila hisa ina thamani ya bilioni 1). Na hiyo kampuni kwa...
Nimekutana na mada ya moto kidogo.
Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi.
Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi...
Mimi ni mzalendo naipenda nchi yangu toka moyoni mwangu na si kwashawishiwa na mtu yeyote .kwakuwa ni mzalendo wa kuzaliwa naomba niwashauri mamlaka ya kodi yaani TRA kuanzisha utaratibu wa...
Kuna wizi umeibuka wa wapangaji wanaiba umeme, Sasa usije kupata matatizo Bure na serikali, uwe na utaratibu wa kuangalia kila mara katika ofisi kuu za tanesco na kukagua mita zako na ukihisi kitu...
Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba...
Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri.
Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu...
I will be short
Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .
This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki...
Yu Donglai, mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Pang Dong Lai, hivi karibuni ametambulisha sera mpya ya kazi anayoita “likizo ya kutokuwa na furaha.”
Kupitia sera hii, wafanyakazi wanapewa...
Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri.
Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali...
"Ikiwa mbunge mstaafu, mwenezi wa CCM na alikuwa Balazi Cuba Polepole Kama aliyoyasema ni ya kweli basi na mpongeza kwa ujasiri kwa sababu ili haki itawale lazima ianzie ndani ya chama chetu"-...
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA GESI YA KUPIKIA
Kama unatumia mtungi wa gesi jikoni, zingatia masharti haya ya usalama:
1. Kagua mara kwa mara
Angalia mtungi, bomba (pipe) na jiko lako kila mara...