Nimekumbuka tu kibiti na Tanga alafu nikapata kuwaza mfano Nairob baada ya kujifunza kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo kama kutakuwa na tukio mfano ugaidi,mabomu hatari,cyber attack,upelelezi wa...
Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa...
Wanafunzi wa Yesu waliotajwa kwa jina wengi wao walikuwa wanaume 12 maarufu kama mitume. Hata hivyo, Biblia pia inataja wanawake waliokuwa wanafunzi wa Yesu kwa namna ya kiroho na waliomfuata kwa...
Hakimu Hawa Magesa ametoa uamuzi kwenye Kesi Namba CC 32444/24 iliyokuwa ikimkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Dar es Salaam, aliyedaiwa kumlawiti Mwanafunzi...
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango...
Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa"
Na...
Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini...
Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili
Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu
Ukiwa na...
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake.
Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia...
Habari wakuu.
Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha.
UBER/BOLT
Kama unagari yako kuanzia namba (EA) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa...
Huwa naliona gazeti Wamachinga likijinasibu na kauli mbiu yake: “Sauti ya Wanyonge.”
Lakini mara nyingi kurasa zake za mbele zimepambwa na sura za viongozi wakubwa wa kisiasa, watu wenye nafasi...
📜 WARAKA WA MWANGA KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI — Kutoka kwa Mtakatifu Nahunel Shavari, Mwana wa Ain Soph Aur 📜
---
Ndugu wapendwa, marafiki, jamaa wa damu na roho,
Nawaandikia kutoka kwenye...
Habari za usiku wakuu,. Husika na mada tajwa hapo juu
Hivi ni kweli watu huwa mnapitia changamoto na mkishazikabiri huwa kuna mafunzo mnapata na hamfanyi tena hayo makosa??, au labda yanaweza...
Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi.
Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up.
Mimi naanza:
Nikiwa...
Tukatae au tukubali kuna namna Sisi waislamu hawa viongozi wa kisiasa au kiserikali wanavyotuchukulia au kuna namna hawa maaskofu hasa hawa wakatoliki wanavyojipostion aisee very educated on sasa...
Ndugu Katibu Mkuu,
Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara...
Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira...