Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..
Sijui nifanyaje yaani mambo ni ovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr
Wakuu naombeni utaratibu hapa nianze vipi nende polisi au nikaushe tu...
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili...
Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa.
Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka.
Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia...
Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu...
Naanza na hii
●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni...
Kwanza niwaambie, sisi Gen Z hatuna cha kupoteza na tuko tayari kufanya chochote ili tuingize pesa. Hiki kizazi chetu ni kizazi cha kufa na kupona, yaani afe kipa au beki lazima ushindi upatikane...
Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF
Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa...
Wakuu naangalia wajasiliamali mitandaoni wakiuza Bidhaa hizi najaribu kuwaza.
Nimeona camera zimefichwa kwenye charger, saa za ukutani, Peni, miwani, socket, vifungo, bulb, hanger, bawabu etc...
Marufuku imekuwa ikipigwa na madhehebu ya walokole , hasa kwa wanawake ambao wanapo okoka wanakuwa tayari wana watoto lakini hawana ndoa ama kwa kifupi wamezaa kabla ya ndoa.
HOJA ZA WANAOPINGA...
Wajuvi wa mambo wanasema kwamba hali ya nywele kusisimka unapopita mahali fulani usiku jua kuwa hio sehemu sio nzuri huenda kukawa na washirikina mahali po au majini
Je? wewe ushawahi kuhisi...
Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine.
Ktk Maisha mambo ni mawili tu.
Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako.
Leo...
Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums
Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu...
Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega.
Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana...
Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya...
Na Mwandishi Wetu, Bukoba
Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwake kwa Ibada Kuu ya Shukrani iliyoongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
“A famous man once said We create our own Demons”
- Tony-stark (Iron man 3)
Wasomi wenye uelewe wa juu jinsi akili ya mwanadamu inavyofanya kazi (psychologist) wanasema kua mambo yote ambayo...