Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la...
18 Reactions
120 Replies
6K Views
Habari wadau. Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo. Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani...
0 Reactions
11 Replies
769 Views
Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili...
18 Reactions
126 Replies
5K Views
Ripoti kutoka Global Initiative inaonyesha kuwa Afrika Mashariki na Kusini ni eneo muhimu kwa uhalifu uliopangwa.( Organized Crime) Afrika Mashariki na Kusini inachukuliwa kuwa sehemu kuu ya...
1 Reactions
3 Replies
509 Views
WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika? Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na...
4 Reactions
29 Replies
994 Views
Aisee dunia NI kama mashine ya KUKATA inakula watu vibaya mno imagine Jana Tu watu 800 wamekufa kwa tetemeko nchi ya Afghanistan Leo asubuh kuna maporomoko huko Sudan watu zaidi ya 1000...
2 Reactions
3 Replies
319 Views
Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Jamani naombeni kuuliza hivi ni sawa mzazi, baba au mama kujua kiwango cha mshahara wangu?
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza?? Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Kama KUNA WATU wame experience hii issue tujuzane. Maxence Melo Kwingine nateleza vizuri tu
0 Reactions
8 Replies
360 Views
Habari wakuu Hapa jf tusaidiane Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane Naomben jaman plz
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him...
3 Reactions
1 Replies
482 Views
Wakati mmoja nilikuwa na-scroll reels za Facebook ikatokea clip moja ikionesha watawa wa kikatoliki wakiimba Kwa ala za kuvutia sana (angelic voices). Hiyo clip ilikuwa ikimuonesha msanii wa...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi. TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida. Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi...
1 Reactions
5 Replies
465 Views
Ile bugati ya bilioni 20 ukiagiza golden dragon china za abiria unapata basi 40 hadi 42, ila mtu mmoja kajinunulia gari ya bilioni 20
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Katika kipindi hiki,ninakutana na watu mbalimbali( wengi Sana) wenye changamoto za afya hususani magonjwa yasiyoambukiza. Kila nikiketi na kujadili nao juu ya kinachowasumbua ninagundua ni...
6 Reactions
17 Replies
921 Views
Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti...
1 Reactions
3 Replies
434 Views
Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
NGE - SCORPION ♏ Uchambuzi zaidi wa nyota ya NGE Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Ng’e: Wenye Nguvu ya Hisia na Walio na Msimamo Ifahamu Nyota ya Ng’e: Wenye Nguvu ya Hisia na Walio...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…