Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu mtangazaji yuko vizuri sana hasa kwenye hichi kipindi cha malumbano ya hoja. Anaweza ku moderate vizuri malumbano. Anajitahidi sana ku balance muda kwa walumbanaji wote. Pia maswali yake ya...
3 Reactions
2 Replies
305 Views
Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
1 Reactions
6 Replies
524 Views
Jengo la Mama na Mtoto – Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta) Jengo hili ni miongoni mwa majengo ya kisasa yaliyotekelezwa katika hospitali 7 za kanda nchini. Ni ushahidi wa dhamira ya dhati...
1 Reactions
8 Replies
543 Views
Habari Wana jF nipo hapa nahitaji msaada na muongozo kwa anaefahamu nilijiandikisha NIDA ila kwa kipindi naandikisha nilifatilia nikawa napigwa kalenda ila baada ya kuhama mkoa nikajiandikisha...
3 Reactions
10 Replies
888 Views
Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena Nguzo kuu ya kudhihirisha wema na utu pamoja na ukomavu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Juni 1, 2025, baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche, na Katibu Mkuu John...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani Musa ni nani katika safari kutoka Misri hadi Kanaani Musa ni mtu mmoja maarufu zaidi katika Agano la Kale. Wakati Ibrahimu anaitwa...
2 Reactions
1 Replies
847 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea. "Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hata sisi mazingira yale hatukuyaelewa Britanicca
12 Reactions
60 Replies
4K Views
Nauliza tu maana kuna dalili kama ni holiday hivi Ahsanteni sana 🐼
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na...
39 Reactions
304 Replies
11K Views
Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala? Hanscana: Kuoa! Mtangazaji: Kwa nini? Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa...
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Kiongozi Yule mnafiki. Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikuwa anajifanya mwanademokrasia lakini alikuwa mtu hatari. Kupitia taarifa alizokuwa anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.
7 Reactions
9 Replies
817 Views
Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi. Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha...
3 Reactions
9 Replies
595 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
25 Reactions
272 Replies
31K Views
Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na...
1 Reactions
1 Replies
291 Views
Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
2 Reactions
4 Replies
433 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…