Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli...
18 Reactions
105 Replies
3K Views
mabadiliko ni sasa
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Watu wa pwani hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni...
13 Reactions
90 Replies
5K Views
Hii ni series ya matukio yaliyotokea miaka ya 2010-2013. Ni mtiririko wa matukio ya ujasiri,kushangaza,kufurahisha na kusikitisha. Maisha ya watoto wa Temeke. Miaka hii ilikuwa ndiyo mwisho...
17 Reactions
63 Replies
3K Views
Mawaziri dizaini ya Hawa wanakuwa wamevimbiwa madaraka,Kuna mtumishi wa Umma Huwa anaenda Dodoma kujifurahisha? Ukiona hivyo ujue mambo ni pending na ya muda mrefu kiasi huyo Afisa Utumishi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mama, Mshahara wake ni chini ya laki tatu, anaishi na watoto wa kijana yake ambae ashafariki. Watoto bado wanasoma. Basi yeye na mme wake wamepambana weee mpaka wamesimamisha nyumba ya...
11 Reactions
18 Replies
962 Views
Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana...
14 Reactions
62 Replies
4K Views
Namaanisha sheria za Barabarani, Leo walitaka kunilaza ndani. Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata. Barabara...
38 Reactions
121 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe...
1 Reactions
3 Replies
511 Views
Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
  • Closed
Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake? Je...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Wajuvi wa maandiko karibuni tena tujifunze kwa pamoja. Maandiko yanasema kama ifuatavyo. ufunuo 20:4-6 Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa hukumu; nami nikaona roho...
3 Reactions
8 Replies
446 Views
Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO Neno la MWENYEZI MUNGU katika kitabu cha nabii yeremia 2:19 neno linasema, uovu wako mwenyewe utakurudi maasi yako yatakukaripia, ujue basi...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Wasomi wanajua elimu ndio akili wakati akili na elimu ni vitu viwili tofauti kwani elimu ni kipande cha karatasi. Wew degree zako hizo 4 zinasaidia nn watu kama haina msaada kwa jamii ni bure...
7 Reactions
13 Replies
691 Views
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe...
5 Reactions
15 Replies
788 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…