Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani mimi kujiunga leo JF inafungwa, alooo kwanini?
7 Reactions
18 Replies
769 Views
Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji. 1. Lindi 2.......... 3...........
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Anonymous
Kumekuwa na kero sana hapa Dodoma mitaa Minginkila soda ya Cocacola unayonunua hasa hizi za take away unakuta tarehe ya kuharibika imefika au bado kidogo lakini pamoja na hayo pia ladha yake...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa...
2 Reactions
3 Replies
508 Views
Habari wanajamvi. Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi? Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama. Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
45 Reactions
259 Replies
19K Views
Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025. Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.
8 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na...
4 Reactions
5 Replies
498 Views
Hili nalizungumza nikiwa na ushahidi wa wazi kabisa kupitia Regional managers wa baadhi ya benki. Akaunti mnazofungua kwa siri na kuweka fedha bila kuwahusisha warithi wenu mjue mtakapofariki...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu watanzania,!? Yeyote aliepo Hanoi city tuwasiliane.
2 Reactions
72 Replies
2K Views
Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu...
0 Reactions
4 Replies
301 Views
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Kumbukumbu la Torati 20:1 [1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…