KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake...
Nchi ya Tanzania itaweza kushuhudia tukio adimu la kupatwa Kwa Mwezi nyakati za usiku Siku ya Jumapili wakati kabla jua kuchomoza.
Dokta Jiwaji mhadhiri mkuu wa Fizikia na mtaalam wa unajimu...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imekemea vikali maudhui ya video zinazojirudia kusambaa mitandaoni zinazowaonesha wanafunzi wa shule ya msingi wakicheza muziki kinyume na maadili...
China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China...
Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano.
Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka...
(JF for life) Wakuu JF ni kama nyumbani kwetu, tena ni zaidi ya kijiwe bora kwa wakati wote, kukaa kimya bila kuingia humu ni sawa na kukaa bila kula kwa siku 90 za adhabu kwetu, tusikae kinyonge...
Habari zenu Wana Jambi
Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa
Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of...
Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza...
Serikali inayojiamini hawezi kuzuia vyombo vya habari kama kweli serikali inatenda haki kwa wananchi wake kwaninj imenye social media freedom?
Hatuwezi kuimba mapambia ya kumsifi mtu fulani...
Habari wanajamvini, nimekuja na hii mada sio kwamba Nina ugomvi na Boss wa Azam, au Nina Nia ya kuua biashara yake ya tax, ambapo mwezi Jana ameongeza tax boti mbili Ili kurahisisha uvushaji wa...
Kuna watu wanauliza kama Jupiter na Saturn zikiwa active yaani zikiwa zinazalisha mwanga (solar energy) kama ilivyo jua siitakuwa hatari kwa sayari kama dunia, Mars, Venus na Mercury
Kabla...
Jana nilishinda vibaya baada ya habari za uvamizi wa JF.. Nilitafakari mengi! Leo ndio tumepigwa TKO kabisa!
Msisha bila JF kwa miezi mitatu๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya...
Nilianza na DSTV Compact, baada ya muda nikaona ni package ambayo hakuna lolote la maana linaloonyeshwa. Nikaenda Compact Plus, karibu mwaka mzima. Nikajikuta naangala sinema aidha za zamani sana...
Binafsi hoja na maoni ya kufungia jukwaa pendwa la JF kwangu si sawa, uhuru wa kujieleza umekandamizwa!, kimsingi hoja zinazo tolewa JF ziwe na mantiki au hazina, kisiasa au kijamii, ni hoja...
Binafsi sikuwahi kumsikia huyu jamaa akiongea Leo ndo namsikiliza hapa Jahazi HD.
Ase jamaa anaongea sana sikutegemea kabisa.
Watu wa tech si waongeaji sana.
Mwanzo nilikua naona picha zake...
Facebook kule ni mtandao wa marekani, kule samia mpaka trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi.
Kule Tiktok ni wa china kule raisi wa china...