Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe...
Mwalimu aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi kuwa anataka kuwaonesha hatua tatu za hisia za binadamu..
Ya kwanza ikiwa ni sapraizi, ya pili kukereka na ya tatu kughadhibika..
Baada ya...
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000
Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na...
Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya...
Ujue mara nyingi nimekuwa nikisema humu nimewahi kufuga majini watu wanachukulia kama mzaha. ,au natania ,
Kwanza kabisa lengo langu sio kuwafundisheni huu ushirikina maana mimi mwenyewe...
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni...
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.
Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya...
Jamani habari za Jumapili.
Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇,
Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje...
aslaam,
ikiwa Leo ni siku ya baba duniani,nimeona namimi niiadhimishe siku hii Kwa namna yangu.
nimechukua watoto wangu wote mpaka kijijini Kwa Babu yao(baba yangu Mimi).
nikawauliza mnamuona...
Adui siku zote anajibiwa kwa mambo yake.Hapa wamekufungia forum ila unachotakiwa ndani ya siku 90 hakuna habari yoyote ya CCm inayotakiwa kuwa kwenye uzi kuanzia sasa.
JamiiForums hawa watu...
Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama.
1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni...
Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa...
Mkuu wa Mtandao wa Wateja wa benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda (kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Kopa KiBoss na Wafanyakazi Loan’ ambapo inakuwa benki ya kwanza nchini...
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili...
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati...
Inatia huzuni, mtu unamwambia nikopeshe milioni tano nifund my business, au wekeza 5M kwenye hii business, some day you won't regret anasema kwa sasa sipo vizuri.
Hazipiti hata siku mbili anaenda...