Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkopo wangu unalipwa kupitia mshahara wangu. Sasa inakuwaje mnakata hadi pesa zangu zilizobaki baada ya kukata deni lenu. Haya nilikuwa na salio mmezichukua zote hadi nekosa pesa ya kula...
1 Reactions
8 Replies
396 Views
Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni...
1 Reactions
8 Replies
547 Views
Nilitumia mbinu ya uchawi wa kisasa(Hyposis) kutoka kwenye YouTube kwa wiki moja. Nimekuwa nikikuta video mbalimbali za wanaume na wanawake wakitoa " Ushauri wa Uchawi ". Mfano, mbinu za...
3 Reactions
12 Replies
756 Views
Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa...
9 Reactions
62 Replies
10K Views
Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
3 Reactions
17 Replies
605 Views
Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi inayohusu kuzuiliwa kwa Bwana Mpina kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea...
2 Reactions
3 Replies
429 Views
Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu! Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala...
41 Reactions
108 Replies
9K Views
Kwa kweli sioni na hamna sababu kabisa ya watanzania kushindwa kuwa na bima ya afya kwa wote au kupata matibabu bure kama ilivyo Zanzibar. Hili ni jambo la msingi sana na linaweza kuokoa maisha...
4 Reactions
8 Replies
460 Views
Hawa jamaa system ime collapse na tuliona haya miaka mitatu minne hivi tukillalamikia precision katika kupat huduma physically na digitally lakini pia customer service unapiga simu ni muziku...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Isa 61:8 SUV [8] Maana mimi, BWANA, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wivi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele. Israel ilipita kipindi kigumu sana...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini? Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM! Wapo kula Rushwa!! Wapo kutekeleza Mauaji!!! Nasikia na wengine wameanza...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road umesema kuwa umejipanga kuwa kitovu cha Tiba Utalii Africa, ambapo katika kurahisisha shughuli hiyo wamekutana na wadau wa sekta binafsi kutoka Global...
0 Reactions
3 Replies
276 Views
Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni...
24 Reactions
115 Replies
5K Views
Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo...
23 Reactions
101 Replies
5K Views
Watu wa namna hiyo wanaitwa WANAFIKI, ni watu wabaya sana. Wewe si umezima, sasa unafuata nini huku? Si uende huko FB?
10 Reactions
25 Replies
939 Views
MABASI YA TANZANIA/LIST OF BUSES: -TAHMEED COACH -Dar Express -Dar lux -Matiku -Emigrace -Nyamanza -Muck -Lufumbe -Lamigo -Super sonic -Hg -Baraka -Marangu coach -Mvungi -Jmc -Shengzou -Prezdar...
32 Reactions
1K Replies
382K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Nimecheki leo Yani ni zero 0.00. Wiki mbili zilizopita ilikuwa 1500. Kwa hiyo nimepoteza 5million USD nilizo wekeza.
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…