Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ally Ussi (wa tatu kushoto) akizindua tawi la Nyakatuntu wilayani Kyerwa. Pamoja naye ni Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Mheshimiwa Zaitun...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama unaenda Ubungo au Buguruni kupitia barabara ya Mandela tafuta njia mbadala, si kwa hii foleni. Barabara mchepuko za vingunguti, airport na majumba 6 zimefungwa kwa wakati mmoja lazima foleni...
1 Reactions
4 Replies
465 Views
Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa...
4 Reactions
16 Replies
570 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ameendelea na ziara zake katika baadhi ya matawi ya jijini Dar es Salaam kukutana na wateja ikiwa ni siku chache baada ya Benki kukamilisha...
0 Reactions
5 Replies
690 Views
Kwenye nchi yenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hadi nyasi za hifadhi ya Serengeti mpaka kwenye fukwe za Zanzibar – Tanzania, hizi ni takwimu za Wageni waliotembela Tanzania ndani ya kipindi cha...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
https://youtu.be/JBthEm_5Myc?si=xtKNiW05D4y7m1CG Serikali imetoa magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuongeza nguvu ya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Leo katika hii Mada kazi yangu kubwa itakuwa ni kusoma tu Comments zenu. Na nasikia pia wanasifika zaidi kwa Kuroga.
1 Reactions
13 Replies
850 Views
Salam Wakuu, Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update. Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa...
0 Reactions
8 Replies
711 Views
Hamjambo! Sijajua! Wala sio mtaalamu wa masuala ya hali ya hewa. Ila kwa elimu ndogo ya kitaaolojia ninaweza kusema hakuna kipindi kigumu na kibaya kwa Majobless na watu wasio na hela kama msimu...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Na sasa watu wanampongeza ndugu aliyeshinda Marathon na kuleta medali nchini. Miaka kadhaa iliyopita Ramadhani Brother walifanya maajabu, Mwakinyo naye alileta ushindi na watu wengine mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini, Ndaro Samsoni, amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili kuchagua rais...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Habari wakuu, Nimepitia Katiba ya Malawi ya Mwaka 1994 inayotumika hadi sasa, vipengele vikuu nilivyopitia ni kuhusiana na ukaimu wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais Kwa mujibu wa Katiba ya...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
0 Reactions
2 Replies
298 Views
Tabia ya kuajiri Division 0 na 4 nadhani tungeachana nayo. Tuanze kuajiri kidato cha 6 na waliomaliza Chuo kwa ngazi ya Diploma na kuendelea. Hawa angalau wanaweza kuwa na uelewa na akili. Wengi...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi, limeendelea kuwekeza katika mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa na askari wake, lengo...
0 Reactions
4 Replies
365 Views
Pigia sana mstari hiyo Sentensi yangu niliyosema kuwa tulijua tu ipo Siku hilo Soko litaungua kwa Kuunguzwa Kimkakati.
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu...
55 Reactions
167 Replies
20K Views
Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua! Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…