Danieli 9:27
Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata...
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki...
Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa...
Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam.
-----
TANZIA...
Nataka kuokoka ila bado nipo njia panda kila nikisoma biblia nakosa majibu sasa wajuvi wa mambo nauliza hivi kati ya Yesu na Mungu aliyetajwa kwenye biblia la agano la kale ni wote wako sawa...
Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa...
Mshahara ni baada ya makato
Je ni mkoa gani mzuri unaoweza kubalance vizuri Gharama za maisha, huduma za kijamii, usalama na utulivu wa familia
ARUSHA - ❌❌ Huu mkoa unakoelekea hata sijui, kuna...
Kifo ni kitu kisichokwepeka, lakini baadhi ya tabia ukiendekeza zinaweza kuzidisha hatari ya kupata matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukutesa ukiwa bado hai, hasa kuanzia miaka 45.
Kunywa pombe...
Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba...
Moja la Morocco
Moja la Mbezi-Gerezani
Moja la Kimara-Gerezani
Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10.
Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi...
Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe!
Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
DSTV inamilikiwa na MultiChoice Group, kampuni ya Afrika Kusini yenye makao makuu Randburg, Johannesburg. MultiChoice ilianzisha DStv mwaka 1995, na tangu wakati huo imepanuka kutoa huduma za...
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.
Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za...
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo...
Thabo Bester aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na mamlaka za afrika ya kusini amekamatwa leo asubuhi huko mkoani Arusha, Bester maarufu kama Facebook rapist anatuhumiwa kwa makosa kadhaa...
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa...
Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha
Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha.
Januari 2025
12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano
Februari 2025
2 Februari 2025: Togo – Seneti...