Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 June 2024 walifika polisi 10. Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela 2. Walipozuiwa kuingia wote...
27 Reactions
87 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Nchini Professa Philipo Sanga amesema Mkoa wa Tabora ni kinara kwa asilimia kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika katika mikoa mitano nchini...
3 Reactions
6 Replies
382 Views
Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele, Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi...
11 Reactions
82 Replies
3K Views
Bei ni moja, lakini upatikanaji unatofautiana sana, kipato ndicho kinachoamua. Je, unajua ni muda gani watu wanapaswa kufanya kazi ili kununua iPhone 17 Pro yenye thamani ya dola 1,099 sawa na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
UCHAWI UPO; Asili yake ni kukufumbaza ili uone kama unakufanikisha ila kaisili unakula Aura, Nafsi na kizazi chako. Asili ya uchawi ni maangamizi, utakupa vipesa vya kwenye bishara yako lakini...
1 Reactions
4 Replies
400 Views
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya...
2 Reactions
2 Replies
511 Views
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi...
5 Reactions
15 Replies
751 Views
Siwezi kuweka majina wala kupoint watu ila navyosikia za chinichini wengi waliopo madarakani wana uraia pacha ambao wameshatengeneza mazingira la lolote. Kuna mmoja hata nia ya nchii hana malengo...
1 Reactions
8 Replies
592 Views
Ukiangalia ripoti za uhamiaji kesi za Burundi wahamiaji haramu ndio wengi. Kama ilishakuwa nchi iliyo shindwa ni bora kuwa muunganiko wa Tanzania hata Kaskazini mwa Congo kuwa jimbo linalotegemea...
4 Reactions
6 Replies
331 Views
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni...
1 Reactions
2 Replies
329 Views
Samahani naomba kuwauliza,hivi mshahara wa watumishi wa umma umetoka? Maana kuna walimu nawaona hapa bar ya jirani na kwangu wanapombeka sio poa
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama kuu. "Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama...
3 Reactions
3 Replies
322 Views
Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje...
4 Reactions
8 Replies
301 Views
Kuna kipindi fulani, hasa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, jina Discovery Channel lilikuwa alama ya heshima kwa yeyote aliyependa kujifunza kupitia runinga. Ilikuwa ni “chuo cha nyumbani,”...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela..... Mtaji ni mdomo wako na how smart you are. Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd..... Hahaha sifungui hata ajira...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Chid Benz kapitia mengi Ulimwengu huu ambao na wengine wamepitia ila kimtazamo tanzania tunaona kama wakikosa mafanikio ni wamerukwa na akili. Binadamu wanaamini ukiwa na mafanikio wewe...
2 Reactions
3 Replies
367 Views
Moderator naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote Mada imezingatia ushahidi wa kimaandiko hivyo natarajia wachangiaji waje pia na ushahidi husika Nàam kwa mujibu wa...
2 Reactions
90 Replies
6K Views
Why does anything exist at all,the universe, matter, energy, life-instead of total emptiness or absolute nothingness?
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Wakuu, Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi. Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…