Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama mnavyojua nchi yetu ina vivutio vingi sana na jamii zimeishi karibu na au kwenye maeneo hayo tangu kale, kero kubwa imekuwa ni kwa askari game ranger, wamisitu na vivutio lakini nahofia huko...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato. Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi...
2 Reactions
9 Replies
579 Views
Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha...
6 Reactions
42 Replies
22K Views
Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko...
1 Reactions
21 Replies
768 Views
Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Yani nataka niangalie mechi za league ya italy na ujerumani kali sasahivi zinaendelea lakini ndio hivyo tena, naishia kuangalia league ya kenya na mechi ya Caf confederation. Kulikua na haja gani...
4 Reactions
7 Replies
444 Views
Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa...
10 Reactions
109 Replies
7K Views
"MAZOEA" YAKO HUJENGA MWAMBA MGUMU KATIKA MOYO WAKO Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi Ingawaje maisha yanatufundisha tusiwe na MAZOEA kila siku, hayataki tuzoee lakini Sisi ndio...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Mvutano Kati ya Uislamu, Historia na Akiolojia Uislamu ni mojawapo ya dini kubwa duniani, ukidai chimbuko lake kuwa ni ufunuo wa Mungu mmoja kwa Nabii Muhammad katika karne ya 7 huko Arabia...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Yer 2:28 SUV [28] Lakini wako wapi miungu yako ulioifanya? Na wasimame hao, kama wakiweza kukuokoa wakati wa taabu yako; kwa maana hesabu ya miungu yako ni sawasawa na hesabu ya miji yako, Ee...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku. Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa...
23 Reactions
413 Replies
58K Views
Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo. Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao...
2 Reactions
2 Replies
419 Views
NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto...
0 Reactions
5 Replies
905 Views
Vyoo vinavyotumiwa na abiria pamoja na watu mbalimbali ndani ya Stendi ya Mabasi ya Nyegezi Jijini Mwanza, havina huduma ya maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja, taarifa ikiwa ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Check huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi yake Pia soma ~ Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu. Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa. Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa "Dear customer, you...
8 Reactions
97 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…