Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili...
Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo...
Huo ndiyo utaratibu
Wakuja kukuteka
Kabla hawajaamua nini cha kukufanya wanaangalia kuna ushahidi, kuna watu wameturecord au kupiga picha, kama hamna wanafanya walichopanga kufanya, kama kuna...
Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, akiomba zuio la muda la...
Sijui nina kimewapa kujiamini hivi?
Ila shida za mwananchi mtaani zimesuswa zaidi, na hawajali kabisa.
Pole mama John kwa kukanyagwa jana pale kituoni Kimara kipindi cha purukushani za...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31...
ULIAMBIWA YALIYOTOKEA KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA 2000?
Karibu na mwaka 2000 (mwaka wa kubadilika karne na milenia), kulikuwa na taharuki kubwa sana ya kidini. Watu wengi waliamini kuwa huo ndio...
ELIMU YA VITO NDANI YA MAANDIKO YA KALE.
Tutaangazia maandiko kutoka kwenye Kitabu cha cha Mafumbo (The Book of Codes) maarufu Biblia.
Bila shaka mnajua kwa nini The Bible ni 'the most authentic...
Paka anauwezo wa kukufanya usionekane.
Uwezo huu ukiutaka ni rahisi tu
Chakufanya ,tafuta paka kish muue😭😭
Baada ya hapo ,mzike Ila hakikisha macho yake yanaangalia juu
,ukisha maliza juu ya...
Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye...
Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari.
Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo...
Mtandao wa Kupambana na Umaskini Duniani (Global Call to Action Against Poverty – GCAP), tawi la Tanzania, umetaka kuchukuliwa hatua za haraka na za kimkakati kukabiliana na umasikini na ukosefu...
Ni takribani masaa 12 sasa tangu BBC Swahili kuchapisha habari inayomhusu mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Chivayo, ikiwemo picha yake akiwa Ikulu ya Tanzania. Tukio hili limeibua mjadala mzito...
Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliwahi kusema kupitia njia ya mtandao kwamba atafichua uozo uliopo ndani ya mradi wa mwendokasi. Kauli hiyo bado inabaki vichwani...
Wazazi wengi wamekuwa na maono mafupi kwa kuwa wagumu kurudi nyuma kuiona picha kamili ya maisha ya watoto wao.
Wazazi wanahangaiko mtoto ajue kutafuta thamani ya X, kujua log 10 = 1, kukariri...
Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo
"Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya...
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni.
Soma > Mjane wa Justice...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi rasmi eneo kwaajili ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kisiwani Pemba ambao utagharimu Euro Milioni 170 ili kufungua fursa za kiuchumi kisiwani Humo...