Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wakuu, natumaini mu wazima. Moja Kwa Moja kwenye mada, Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa...
6 Reactions
21 Replies
681 Views
Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia matukio muhimu ya kiusalama nchini, milipuko ya mabomu katika maghala ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Mbagala mwaka 2009 na Gongo la Mboto mwaka...
9 Reactions
106 Replies
7K Views
Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila...
9 Reactions
13 Replies
783 Views
Programu ya Imbeju inayotekelezwa na Taasisi ya CRDB Bank Foundation imetoa zaidi ya shilingi milioni 555.6 kwa vikundi 58 vya wajasiliamali mkoani Kigoma. Mikopo hiyo itokanayo na asilimia 10 ya...
1 Reactions
3 Replies
206 Views
Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani...
26 Reactions
193 Replies
5K Views
Matukio ya namna hii ya naumiza sana, binti mdogo akitafuta maisha yake ila ghafla yamekatishwa na watu wenye roho mbaya. Ila kuna jambo najiuliza je ni ishu za biashara za baba yake? au...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwakweli kwenye sekta ya Teknolojia hasa huduma za kifedha hizi kampuni zinatia hasira sana. Jana nimefanya muamala kwa T-Pesa (TTCL) kwenda HaloPesa (Halotel) haukukamilika, nikawapigia simu...
0 Reactions
9 Replies
578 Views
Je hii inaingia akilini? Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Waziri Kitila Mkumbo Septemba 29, 2015 aliwahi kuandika "Nchi zote zenye akili hupima uwezo...
1 Reactions
5 Replies
225 Views
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako...
3 Reactions
5 Replies
621 Views
Mgombea Ubunge wa Viti maalumu akiwakilisha kundi la Vijana Zainabu Abdallah amesema kuwa watanzania wanataka vitu viwili pekee ambavyo ni Amani na Maendeleo na Kueleza kuwa Dkt. Samia ameweza...
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Kuna tofauti gani ya limao na ndimu?
18 Reactions
115 Replies
6K Views
Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani...
4 Reactions
1 Replies
189 Views
Kuna nyumba moja ya kupanga bwana; kuna hao wakaka wawili wenye umri takribani 25 mpaka 30; ni mapacha wa kufanana kabisa yaani(Identical Twins) na wanafanana kila kitu. Sasa hao wakaka...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
KCB Bank Tanzania mnatia aibu, ni zaidi ya siku 20, KCB Mobile haifanyi kazi, pia app yenu mpya na ya zamani ni hovyo Ni zaidi ya siku 20 KCB Mobile haifanyi kazi, huwezi kutizama salio, ama...
3 Reactions
6 Replies
420 Views
Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. " Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia. Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa...
2 Reactions
10 Replies
414 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…