Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ijayo itaendeleza jitihada za kuboresha huduma za afya mkoani Kilimanjaro...
1 Reactions
4 Replies
242 Views
Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo...
0 Reactions
4 Replies
353 Views
Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli...
4 Reactions
10 Replies
646 Views
Leo oktoba 01, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasili katika Mkoa wa Arusha Katika Jimbo la Arusha Mjini...
1 Reactions
6 Replies
363 Views
Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa...
5 Reactions
7 Replies
521 Views
Ufafanuzi kuhusu risiti ya kielektroniki (EFD) ya ABC CERAMICS TANZANIA inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuondolewa kwenye mfumo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (EFDMS). Pia soma >...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingensis" atazungumza na vyombo vya habari, kesho, 30.09.2025 saa 4 asubuhi na kutoa taarifa mintaarafu kuhusu Padre Jordan Kibiki...
17 Reactions
65 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa...
1 Reactions
2 Replies
398 Views
Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma. Nashindwa kujua hii...
1 Reactions
1 Replies
366 Views
Katika dunia ya sasa, knowledge economy ndiyo msingi wa utajiri. Vijana wengi tuna mawazo makubwa lakini hayapati nafasi ya kugeuzwa kuwa tangible income. Nataka tuunde Digital Knowledge...
3 Reactions
6 Replies
384 Views
Jana zilisambazwa picha za watawa wa shirika la Masista wa Africa wabenedictino huko Ndanda wakiwa wamevalia skafu za Ccm na kushika mabango ya Ccm ,pia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa ccm na...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wananchi wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameonesha imani yao kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan wakieleza kuwa watampatia ushindi wa...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Kuna hii mada yangu niliandikq mwaka 2016 miaka minne hivi baada ya kujiunga JF.. Lakini kiuhalisia ni mada niliyoiandika kwenye daftari mwaka 1998 ikiwa ni maandalizi ya kuandika kitabu (6,646)...
3 Reactions
16 Replies
841 Views
Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasafiri wa ndege nchini Tanzania sasa wanaweza kufurahia urahisi wa kulipia tiketi zao kupitia simu za mkononi, kufuatia makubaliano kati ya Shirika la Ndege la Dubai flydubai na Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza...
0 Reactions
5 Replies
247 Views
YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni...
14 Reactions
248 Replies
9K Views
Wana JF, Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya. Tukiri ukweli: Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…