Purpose ya cross examination ni kuonesha udhaifu wa shahidi ie to discredit his evidence.
1. Nadhani Lisu ameweza kuonesha kuwa shahidi ni mwongo! Alikuwa anakataa vitu ambavyo kama mpelelezi wa...
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).
Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Yer 19:8 SUV
[8] Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake.
Hapa tunaona Nabii Yeremia...
Katika banda moja lenya watu wengi kwenye Mkutano wa 7 wa CAC Africa uliofanyika jijini Nairobi, Kenya, Brighton Kisero anachunguza kwa makini chupa ndogo ya viuatilifu vya kibaiolojia. Kwa...
Gari la askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji visiwani Zanzibar, limepata ajali na kusababisha kifo cha askari mmoja huku wengine wakijeruhiwa.
Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji visiwani...
Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni...
Gari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama...
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie...
Kikosi cha Polisi Wanamaji Zanzibar kimepokea boti mpya ya kisasa kwa ajili ya shughuli za doria, operesheni na uokoaji kwenye maeneo ya baharini.
Zoezi hilo la makabidhiano limefanyika leo...
Wakili Peter Kibatala akieleza kinachoendelea Mahakamani kuhusu maombi waliyopeleka Mahakamani kuhusu kutaka Polepole anayedaiwa kutekwa kufikishwa Mahakamani.
Credit: Global tv
Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa...
Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani...
Hivi karibuni Trump amepitisha sheria kwa baadhi ya nchi raia wake wakiingia Marekani waingie kwa Visa bond. Imewekwa bayana ni dola5000 naomba anayejua hii maana yake nini hasa.
Ushirikiano kati ya China nan chi za Afrika umegusa maeneo mengi ikiwemo sekta ya elimu. Kupitia ushirikiano huo, China imejenga, kukarabati, ama kutoa msaada wa aina mbalimbali katika shule...
Dr Jane Goodall, mtaalamu mashuhuri wa masuala ya sokwe na mwanaharakati wa uhifadhi, amefariki dunia, kwa mujibu wa taasisi yake ya uhifadhi. Alikuwa na umri wa miaka 91.
"Taasisi ya Jane...
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na...
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya rufaa iliyokatwa na Clinton Damas maarufu Nyundo na wenzake watatu hadi Oktoba 21, 2025, kutokana na sababu za dharura.
Hukumu...