Wavunjifu namba MOJA wa sheria za barabarani ni madereva wa serikali wanapokuwq na magari ya serikali.
wana overtake popote
Hawajali speed limit
Hawaheshimu sheria nyingi za barabarani
Hapa...
Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba...
Picha imechanwa Usiku na kwa usiri mkubwa mno.
Asubuhi Saa mbili watu 14 washakamtwa.
Ajabu Ben Saanane ni miaka sasa Hadi leo hiiii, waliomshambulia Lissu.
Netflix Intel ?
Turudi mstarini...
Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa...
Hakika sikuwa na raha kwa kipindi chote hicho JF ilipokuwa banned!!
Jana kwa bahati mbaya? Nikabonyeza app ya JF, haaa!! Nikashangaa threads za kutosha!!
Katika ku peruzi peruzi nikagundua...
Nadhani kama Kuna jambo ambalo waislamu hawataki kabisa asiye muislamu ajue basi ni kuhusu ukweli wa Quran, maana hata waislamu wenyewe hasa maamuma wanafichwa, kwasisi tuliopita madrasa tunajua...
Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua.
Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa.
Kwa wale wanaopenda kuajiriwa...
Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali...
Mwili wa mwanamke ambaye hajatambulika jina, umepatikana leo Oktoba 10, 2025 katika eneo la Coco Beach, Dar es Salaam.
Musa Miamba, Mwenyekiti wa Utunzaji wa Mazingira eneo hilo, amethibitisha...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2025 Wakili Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama cha ACT Wazalendo akielezea muenendo wa baadhi ya kesi...
Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na...
Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
Habari wadau wa JamiiForums,
Leo nimekuja na mada nyeti kidogo, lakini yenye umuhimu mkubwa wa kujadiliwa. Mara nyingi tunazungumzia mataifa yenye watu wenye IQ kubwa, lakini je, umewahi kujiuliza...
Wadau wa Jamiiforums, tuzungumze kwa ukweli mchungu!
Leo naomba tusahau unafiki na tuweke uzalendo kando kwa dakika chache. Tukubali tusikubali, Watanzania wengi wana IQ ndogo! Na hili si tusi, si...
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.
Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia...