Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa wito kwa wananchi kuacha mara moja kufanya shughuli za kibinadamu kama vile uchenjuaji wa madini na kilimo karibu na vyanzo vya maji, ili...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Je, hii Dola 45 unailipa ukitoka wapi na hii Dola 90 nayo unailipa ukiwa unaenda wapi? Kwa anayejua hili anifafanulie.
0 Reactions
7 Replies
380 Views
UVCCM TAIFA. Julai 26, 2022. KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KATIBU MKUU UVCCM Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, unapenda kukutakia Kheri na Baraka ya Siku ya Kuzaliwa Katibu Mkuu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo...
0 Reactions
5 Replies
298 Views
Gerson Msigwa najua hii ID unaichukia sana ila nilishakuonya mno hapa JF kuhusu mienendo yako ukadhani nakuchukia.
7 Reactions
16 Replies
776 Views
Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na...
13 Reactions
127 Replies
4K Views
Hii haipingiki japo Mwalimu Nyerere alifanya mengi mazuri hiyo haimaniishi ya kwamba hakufanya hakuteleza pia Mwalimu Nyerere hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu kwa kujua au kutojua...
3 Reactions
9 Replies
343 Views
Maendeleo ya watu siyo mabarabara au majumba ya serikali bali maendeleo ni kuwawezesha watu ili waweze kuboresha maisha yao na hasa katika kipengele cha ustawi wa afya za watu ili waweze kuwa na...
1 Reactions
5 Replies
267 Views
Barabara imekuwa bize, magari mengi yanapita, ni kelele zisiozisha na mitetemo isiyokoma pale magari makubwa yanapopita, Kila nikirudi nyumbani kwa gari, lazima nipige simu mapema kuwa narudi...
4 Reactions
12 Replies
637 Views
Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa...
3 Reactions
42 Replies
964 Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia na kushiriki mijadala mbalimbali hapa JamiiForums, nikijaribu kutoa ushauri na mawazo ya kuboresha sekta ya teknolojia na maendeleo ya kidigitali. Katika muda...
0 Reactions
4 Replies
233 Views
Habari zenu wanajamii, Lengo la mimi kufungua huu uzi ni kutaka kuwaunganisha watu wote, kutoka maeno mbalimbali, nje na ndani ya mkoa Kilimanjaro Hivyo basi ikiwa unataka au unatamani kuuliza...
1 Reactions
22 Replies
587 Views
Mambo vipi wakuu mbalimbali . Nimekuja Leo baada ya salamu ni juu ya kero hii. Katika kituo kidogo Cha matibabu kinachomilikiwa na wakorea pale Karibu na soko la majengo kumekuwa hakuna faragha...
3 Reactions
12 Replies
725 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Toka mwanzo maandamano walitangazwa kuwa yatakuwa tarehe 28 siku moja kabla ya uchaguzi lakin bahati nzuri kabisa wazee wa suti nyeusi...
10 Reactions
11 Replies
706 Views
Sio kawaida kwani sio wanawake,sio wanaume,sio mabinti,Wala sio vijana wa kiume Wana sema hawataki Mitaani Kuna minong'ono mizito na ubaya ukisogea karibu ili uiskilize vizuri Minong'ono hiyo...
5 Reactions
8 Replies
548 Views
Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa...
2 Reactions
8 Replies
840 Views
#Ukimtaja Yesu Katika Gnosticism, Wakushi wengi Wanahisi wenda mtu huyu kaanza kuchanganyikiwa.. Lakini Yesu wa injili za Biblia na Yesu wa Gnosticism ni kama Maji na mafuta! Leo, nimewiwa...
2 Reactions
21 Replies
993 Views
Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za...
2 Reactions
7 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…