Walimu saba kati ya 12 wa Shule ya Msingi Isenegeja, Kata ya Mwisi, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameondolewa kazini kufuatia kifo cha mwanafunzi William Kapingu (12), aliyefariki dunia baada...
Makundi ya waendesha bodaboda na wamachinga yamezunguka katika mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam ikiwemo Posta, Kisutu, Kivukoni, Kariakoo, Karume, na Buguruni, yakihamasisha wananchi kulinda...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani akijibu kuhusu hatua watakazochukua katika kulinda usalama katika vituo vya kupiga kura amesema hatua ya...
Hii ni mada ya kukufumbua macho mkulima.
Dhima kuu ya mada hii "Kulinda maslahi binafsi ya mkulima mdogo mdogo"
Kufuatia ukuaji wa teknolojia nnchini na duniani! Mkulima sasa amehama katika ile...
Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero.
Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania...
As a man, you can’t stop spending. Just Pray you don’t stop earning.
Matumizi kwa mwanaume hayakwepeki, ogopa tu siku ambayo utaishiwa pesa.
kusanya mzigo wa kutosha uweze kukusaidia uzeeni ufe...
Habari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Kumekua na tabia ya shule hizi kuchangisha wazazi mara pesa za picnic, mara study tour, mara graduation na pesa ya mpiga picha elfu 10 picha 1 (hii ni ajabu).
Sasa kwenye michango hiyo wamgeuza...
Ni vyema kuchukua maamuzi yaliyo Bora Kwa wakati sahihii, kujisadaka Ni neno Dogo lenye hisia Kali Za maumivu ndani Yake, mateso, ukosefu wa furaha Na Amani Lakin mwisho wake uwa mzuri Kwa...
Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba;
Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa...
Asalam wana jamii?
Jana usiku nimeota nimekufa, nikawa nipo nyumbani jeneza likaletwa naliona na Mimi ndiye nilinunua jeneza Hilo,linafanana na alilozikiwa nalo Papa Francis!
Wakati mchakato...
Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake
Inaelezwa kuwa diaspora wa...
Katika kizazi cha leo, vijana wengi wana ndoto kubwa, malengo ya mbali, vipawa vikubwa, lakini pia wamekumbwa na janga lisiloonekana kirahisi kwa macho ya kawaida – janga la zinaa. Zinaa ni...
Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi...
Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee...