Mtu anaweza kujisadaka katika situation ipi ?!
Nini itapendekeza mtu kujisadakaInategemeana Na Hali,mazingira ya kazi...au upambanajii wa kila siku katika kupat ridhiki
Sawasawanyakati ngumu za kimaisha ambazo kunakuwa hamna plan b ya kutokea...unaamua tu liwalo na liwe