Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mratibu wa Polisi Jamii Wilaya ya Ukerewe, Mkoani Mwanza, SP Raphael Ganchira, ametoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Bwilo kuhusu umuhimu wa kutunza amani. Akizungumza katika mkutano huo...
1 Reactions
7 Replies
236 Views
Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati na baada ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais...
1 Reactions
4 Replies
249 Views
Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu...
15 Reactions
88 Replies
3K Views
Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika uchaguzi mkuu, zaidi ya viongozi 200 wa dini wa mikoa ya kanda ya kaskazini wameonyana, asitokee wa kuvuruga amani ya nchi. Akizungumza Oktoba 22, 2025 katika...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo wamefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 04, 2025 Ikiwa ni pamoja na matembezi mafupi (Route...
1 Reactions
4 Replies
292 Views
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025. Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya...
0 Reactions
9 Replies
472 Views
GT Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu. Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
1 Reactions
19 Replies
717 Views
Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu. 1. January waende la kwanza. 2. January waende form one. 3. January matokeoa ya 7 yatoke. 4. January matokeo...
0 Reactions
8 Replies
286 Views
  • Featured
Pressure cooker ni moja ya kifaa muhimu kwenye mapishi kinachosaidia kupunguza muda wa kupika ikitumia mvuke wenye shinikizo kubwa kupika chakula kwa haraka kuliko sufuria za kawaida. Faida...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi Asante sana Itakuwa rahisi sana kukamatwa na kupigishwa kura kama tutakutana kwenye vituo vya kupigia kura Tukutane tu barabarani wengine mitaan kwetu tushajipanga tiari tuna...
4 Reactions
29 Replies
912 Views
Madereva wa bodaboda na bajaji wa Wilaya na Mkoa wa Singida wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa kutambua kuwa...
0 Reactions
2 Replies
197 Views
  • Featured
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Alhamisi, Oktoba 16, 2025, kuhusu kupatikana kwa miili ya watu wanne kando ya barabara ya Mapinga, Kibaha miili hiyo ilionekana kuwa na majeraha...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe. Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
1 Reactions
9 Replies
533 Views
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi.. Usalama upo kweli? N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala...
12 Reactions
146 Replies
5K Views
Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote...
28 Reactions
150 Replies
7K Views
Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk. Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa...
1 Reactions
4 Replies
259 Views
Moja ya mikutano muhimu zaidi ya China ulianza Jumatatu ya Oktoba 20, wakati kiongozi wa nchi hii ya pili kwa uchumi mkubwa duniani Xi Jinping na maafisa wengine wa Chama tawala cha Kikomunisti...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…