Jeshi la polisi mkoani Manyara limesema linamsaka Juma Almas muumini wa dini ya Kiislam kwa tuhuma za kutoa ushawishi kwa wananchi akiwataka wasipige kura.
Akizungumza leo Oktoba 25, 2025...
Sheikh wa mkoa wa Singida Nassor Yahya amefafanua umuhimu wa kupiga kura ambapo amesema “tukamchague kiongozi tunaemtaka na tusipofanya hivyo atachaguliwa kiongozi tusiemtaka sisi”
Sheikh...
Nimeona hawa jamaa wanasema kupiga kura mpaka vitambulisho vya NIDA vinatumika je Kwa wale ambao mlikua hamjapata vitambulisho vya Nida mkienda mnapewa maana Inaonekana watatoa haraka kukiko...
Taasisi ya Tanzania Jumuishi (TAJU) inayotetea haki za watu wenye ulemavu nchini imetoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu bila kujihusisha na vurugu na machafuko...
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana Mrakibu Mwandamizi(OCD), SSP Virginia Sodoka, amewataka wananchi wa wilaya ya Nyamagana kuendelea kulinda amani na usalama kwa kushiriki katika shughuli nzima za...
Kamanda wa Polisi Kinondoni SACP, Mtatiro Kitinkwi akizungumza kupitia Clouds TV, amesema; atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria kutokana na kosa alilolitenda
Soma: SACP Kitinkwi: Jeshi la polisi...
Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Kazi imeanza huko! Ni alarm kwa polisi sasa
==============
Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi Kata wa Kata ya Chitete, iliyopo Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe na...
Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili...
Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu.
Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29...
University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha...
"Hakuna Kitabu Chochote Cha Dini kinachoonesha Kiongozi wa dini anapingana na Serikali, bali Vitabu Vinaonesha kuwa hata Yesu alitoka kilomita nyingi kwenda kuhesabiwa"- amesema Kiongozi wa Dini...
Rombo. Mwalimu wa Shule ya Msingi Sinya, iliyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Samwel Mlay (39), anadaiwa kujiua kwa kujiteketeza kwa moto katika nyumba yake aliyokuwa akiishi na familia yake...
Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia.
So kama huyu mama yenu mtawala anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua...
Wananchi wa Kata ya Sirari Jimbo la Tarime vijijini amekusanyika katika kituo cha polisi cha Sirari, Baada ya Jeshi la polisi kudaiwa Kumuua Mdogo wa Mbunge wa Tarime vijijini Mhe. John Heche...
Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, kama linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya
uliwahi kusikia maajabu ya Kaburi hili la mtu maarufu katika fani ya...
Marko 12:17
"...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu."
Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅
Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅
Damu ya Yesu...