JWTZ Haina Sifa ya Kuwa Jeshi la Wananchi
Katika muktadha wa mageuzi ya kijeshi na kisiasa duniani kote, tunapaswa kujiuliza: je, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina sifa ya kuitwa "Jeshi...
Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza.
Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji.
Japo maumivu ya...
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa siku tano mfulilizo watanzania wakiuwawa kwa kupigwa risasi na Abdul na mama yake Samia lakin hakuna hata radio station moja iliyosema...
UKWELI NI KWAMBA KUMBE INAWEZEKANA.
Kufuatia Vurumai zilizotokea mara baada ya uchaguzi Mkuu kuanzia Octoba 29 mpaka hivi leo nimejifunza mambo kadhaa kwangu na kwa wengine.
1. Kumbe sisi...
Polisi huyu mbele ya waziri anadai mshahara wake ni mdogo kiasi cha kuzidiwa mara mbili na mkewe ambaye ni mwalimu huku akihisi kuwa huenda ni laana iliyopelekea kulaaniwa
:AAAA::AAAA:
Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho,
Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni.
Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo...
Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025
Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo.
Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano...
Siku ya Uchaguzi Mkuu 99% ya Watanzania walikuwa wakilisifu Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ushahidi mwingi tu wa Video mbalimbali upo na cha Kushangaza sasa baada ya jana Rais Samia...
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza...
Habari wakuu,
Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes
Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu...
Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange...
Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu...
Habari za muda huu wajuzi wa mambo.
Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali.
Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti...