Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu.
Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa...
Ni aibu sana kama nchi kwanini tunakosa watu Genuine wanaoweza kuaddress matatizo ya wananchi na kuyashughulikia bila mawaa.
Hivi serikali haioni aibu kusema kuwa kwenye maandamano kulikuwa na...
Kilichofikia sasa wenyekiti wa CCM na wengine kupitia ujinga wa waziri mchengerwa mnaanza kuponza watu maana wameanza kuochoma watu ili wafanikiwe kuishi kwa amani ila amani ngumu.
Sasa imekuwa...
Tatizo kubwa walilokosea raia ni kuanza uharibifu wa mali, hivi kama ofisi za ccm, sheli, mwendokasi, vituoo vya kujaza gas, na nyumba za viongozi zina shida gani? Mpaka mchome?
Hayo ndio mnaita...
Benki ya NMB yazindua tawi jipya Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais Philip Mpango.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo ameipa Benki ya NMB baraka zake na kuzindua Tawi...
Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu...
Yer 41:13 SUV
[13] Basi, ikawa, watu wote waliokuwa pamoja na Ishmaeli, walipomwona Yohana, mwana wa Karea, na hao maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, ndipo wakafurahi.
Baada ya...
Hali ni mbaya sana. Hakuna mafuta kabisa ya kuendeshea vyombo vya moto.
Nina hela mfukoni lakini magari hayana mafuta.
Wateja wangu wa Kangala waliniambia nikahemee Ambiace Buseresere.
Lakini...
Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith...
Habari wanajukwaa.
Nichukue nafasi hii kutoa pole kwa watanzania wenzangu kwa yanayoendelea.
Niko hapa kupata msaada wa hichi kitu kinaitwa
Asylum Seeking.
NI utaratibu gani mtu afanye kwa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU.
Maaskari polisi kila siku jioni walikuwa wanawatupa watu hapa, maana hiyo siyo kuwazika!
Watu wamezikwa hapa wakiwa na nguo zao walizovaa...
Moja wapo ya lengo la maandamano ilikuwa ni kumuondoa Samia madarakani hili limefeli. Kwani tayari kaapishwa.
Jingine ni kuzuia uchaguzi, hili nalo limefeli kwani tume ilimtangaza Samia kuwa...
Wakuu nani ana idea ya soko la hili jiwe nimeliona mahali liko hivi
1.linarangi mingi kama rainbow
2.kwenye giza linangara(mimi sikulitest maana nililiona mchana)
3.linauhai linahifadhiwa...
GT.
Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi.
Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano...
Ina maana makampuni na taasisi hazioni vifo na mambo yaliyotokea ili wata watoe pole?
Club za mpira zinapata sapoti ya wananchi ila zimekaa kimya kufuatia Watanzania kuuawa.
Binafsi nimeamua...
Yer 40:16 SUV
[16] Lakini Gedalia, mwana wa Ahikamu, akamwambia Yohana, mwana wa Karea, Usilitende jambo hili, maana unamsingizia Ishmaeli.
Gedalia alikuwa kiongozi mzuri tu, aliletewa onyo la...
Tangazo kwa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa...
Wadau, poleni sana na sekeseke la uchaguzi. Pia, nawapa pole sana kwa wale ambao, wao, au ndugu zao wameguswa na haya maswahibu yaliyotokea! Waliofariki, Mwenye Enzi Mungu awapumzishe kwa amani...