Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa...
2 Reactions
5 Replies
375 Views
Wakati tukiendelea kuomboleza , madhira yaliyotukuta katika harakati za kutimiza haki yetu ya kikatiba ya maandamano ya amani. Tuendelee kuwatupia macho yetu watu ambao kamwe abadani sisi kama...
2 Reactions
11 Replies
375 Views
Asalaam Aleykhum Warahmatullah Ndugu zangu naomba kuuliza, Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA) imewataka Wasafiri wote wanaosafiri kwa usafiri wa baharini kuhakikisha wanakuwa na vitambulisho halali wakati wa kununua tiketi na kuingia bandarini...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku...
1 Reactions
2 Replies
520 Views
Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi...
1 Reactions
22 Replies
702 Views
Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama...
3 Reactions
7 Replies
658 Views
Maumivu yanazidi kuendelee! Hivi hii serikali itawakamata wangapi? Kudai haki Tanzania sasa imegeuka kosa la Uhaini. Ipo siku ya ukombozi inakuja tu ============= Watu 29 wakiwemo wanachama...
2 Reactions
7 Replies
423 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amewakaribisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na maafisa mbalimbali kutoka nchi 16 za Afrika na nje ya Afrika walioko kwenye ziara ya mafunzo ya...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ni huzuni nimeshudia vifo vingi katika maandamano haya ya mo29 ila hawa watoto waliouliwa na mama Samia wameniuma sana aisee Iko hivi watoto...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama balozi wake watishia kutokunywa pepsi. Hasira za wananchi je, zinaweza kupelekea vituo vya kampuni hio kulengwa kwenye...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Neno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu...
1 Reactions
2 Replies
176 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani...
0 Reactions
3 Replies
318 Views
Ukiachana na watu kuuliwa kikatili kati ya Oktoba 29 wakati wa maandamano kuna baadhi ya mabinti waliopitia ukatiili wa kubakwa na wanaodai kuwa ni polisi au kikosi cha usalama. Kuna tetesi...
1 Reactions
1 Replies
252 Views
Ukizubaa lazima uwe chakula kwa wengine, https://youtu.be/m0-0ibJLeRI?si=nEUar7EtvjxVQ12X
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Tuzitumie kiuhakika hizi Wiki Nne kuanzia jana tarehe 10 Novemba, 2025 hadi tarehe 7 Desemba, 2025 kufanya Kazi kwa bidii ili tutafute Fedha za kutosha na ikifika hiyo hiyo tarehe 7 Desemba, 2025...
4 Reactions
16 Replies
532 Views
Habar wakuu, Niko dar kesho nina safari ya kwenda Kondoa, nauliza kuna gari za kwenda huko? Ni kampuni gari nzuri ya bus za kutoka Dar kwenda Kondoa? Na nauli ni shilingi ngapi zinatoka Dar...
1 Reactions
8 Replies
549 Views
Je, ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwa nini wachina hawajasema au kuonesha reaction yoyote mpaka sasa ?. Nitarudi.
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Wasalam, Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…