Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1: Tukianza na Incitement au Solicitation aliyofanya Mange Kimambi pamoja na wahalifu wengine ni kuwa, alishawishi Digital Natives au Generation Z aka Gen Z kuvuruga nchi ya Tanzania kwa kuvunja...
1 Reactions
33 Replies
946 Views
Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
6 Reactions
26 Replies
788 Views
Mifano tumeona M23 kule congo, Sudani kwa Bashiri sababu ya uchu wa madaraka alitengeza kundi la kumlinda yeye RSF mwisho wa siku limekuwa na nguvu kuliko serikali. Yapo makundi mengi ambayo...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na...
1 Reactions
13 Replies
564 Views
Karibu Binti na mwana wa mama Afrika. Mwanzoni nilieleza kama ufahamu wa juu wa mtu, Mungu aliufanya kuwa ngumu mtu kuuongoza kwa sababu maalumu. Moja ya sababu ni kutodhurika na uchawi...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalumu walemavu akila kiapo..binafsi sipingi uwepo wa wenzetu wenye changamoto bungeni, lakini kwa mwnenendo wa mambo ulivyo nchini hatutakuwa na budi bali kuwabagaza baadhi yao...
2 Reactions
23 Replies
842 Views
Tukio la kusikitisha na lililoshangaza wengi limetokea katika Kijiji cha Usari Wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kijana Mmoja ajulikanaye kwa jina la Babuu Vincent kujinyonga kwa kutumia...
1 Reactions
6 Replies
306 Views
Usithubutu Kumpeleka Mtoto Wako Kuishi kwa Ndugu Hakuna Mtu Anayempenda Kama Wewe. Kuna makosa tunayofanya kama wazazi ambayo huonekana madogo lakini madhara yake hudumu maisha yote. Moja ya...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi...
50 Reactions
123 Replies
6K Views
So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ? Tutakufaaaa...
2 Reactions
19 Replies
921 Views
Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi. Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana...
27 Reactions
123 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa na hofu sana juu ya wale watoto wanaoishi katika mazingira magumu pale ubungo hadi kimvulini Ukweli baada ya zile mbilinge za 29 October hasa kivumbi kilivyonuka pale ubungo...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Professa Lumumba " Rais wa Tanzania ametangazwa kuwa mshindi kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura, lakini anapaswa kukabiliana na kilichotokea kwa kujihusisha na upande wa upinzani. Wao pia wana...
4 Reactions
14 Replies
484 Views
Pro-mfumo mbovu .Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa. Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na...
3 Reactions
8 Replies
379 Views
Raha ya ushindi ni kufurahi pamoja na waliokuunga mkono katika kuupata ushindi. Kunakuwa na vibe au hype fulani hivi ya kipekee pale unapokula kiapo , nyomi la raia wakishangilia kwa furaha na...
2 Reactions
9 Replies
418 Views
Jina kamili: Dawson Dominic Mwesiga Umri: Miaka 24 Tarehe ya kuzaliwa: 24 Desemba 2000 Namba ya simu aliyokuwa akiitumia: +255 752 968 227 Mara ya mwisho kuonekana/mwasiliano: 29 Oktoba 2025, saa...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu...
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…