Mawakili Mwabukusi na Mpoki wahojiwa kwa makosa ya ‘kuhamasisha maandamano ya Desemba 9 kwa Lengo la Kuvunja Muungano’
Jana, Novemba 12, Wakili Mwandamizi, Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka...
Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali
NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED
The...
Nimeingia shambani kwa tajiri mmoja hapo iringa anafuga ng'ombe , aisee nauliza bei ya ng'ombe nambiwa five m, huyu six m na hatanii kabisa, nikaona huu uboya nimeenda tukuyu mbeya wanakopatikana...
Mimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi.
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika...
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye...
Nchi hii kuna mambo tunapoelekea tunaitafuta vita mbaya ambayo hawa watu watakuwa sio raia wa nchi yetu nacho kiona kama mange kimambi anavyotuelea kuhusu mtoto wa samia sasa ni raia wa waarabu...
Nikiwa nawachana kwa kuwaambia Ukweli badala ya Kukubali makosa yenu na Kunielewa mnakimbilia Kunitukana, Kunidhihaki na Kunishambulia.
Hivi Logically tu baada ya kutangaza Maandamano mengine...
Hivi karibuni Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imekuwa ni nchi iliyojizolea umarufu kwenye mijadala ya nchi za Africa
Hizi ni Baadhi ya nchi
Tanzania
inashutumiwa kwa ununuzi wa ardhi kubwa...
Mbinu hii inaitwa "
Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal"
Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill...
KIFO CHA MAMA MJAMZITO,MTOTO AKIJIFUNGUA UTATA
Barnaba Tillya mme wa marehemu Irene Tillya mpaka sasa haamini kama kweli mke wake kipenzi hayupo duniani na kila anapofikiria kilichotokea ndani ya...
Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto
Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi...
Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla .
Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una...
Yer 47:7 SUV
[7] Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo.
Waliobeba agizo la Mungu ni vigumu sana kuwakuta wametulia na...
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia.
Kwa kifupi iko hivi, Mzazi wake Dkt. Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya...
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na...
Wakuu,
Jamii forums ni jukwaa huru nchini tanzania,lililoanzishwa kwa ajiri ya washirika(members) kupashana habari zinazohusu taarifa za habari, matukio, burudani, michezo, mapenzi nk
Katika...
Uwepo wa mashine za kukunia nazi na tui la viwandani, limechangia wakina mama wamepoteza umahiri wa kuandaa baadhi ya vyakula.
Hawawezi tena kukuna nazi kwa kutumia mbuzi kiufupi haichekeshi...
Hello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything...
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki.
Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika...