Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa...
Salaam, Shalom.
Tanzania kuibeba Dunia, Hilo tu tayari ni HOJA fikirishi.
Kabla sijaenda ninakotaka kuelezea, ZIFUATAZO, ni sifa za Nchi hii ambazo, huwezi kuzipata Mahali pengine popote duniani...
Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi
Ghafla...
Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani...
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao
Je wanafanyaje?
Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni...
Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
Rais Samia afungua Bunge la 13, atoa msamaha kwa watuhumiwa wa uhaini, aahidi marekebisho ya Katiba na kutoa wito wa Maridhiano
Rais Samia akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025, ameanza kwa...
Chama cha Mawakili wa Serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vikali vurugu, mauaji na...
Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho...
Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa
Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na...
Na: Jumanne Mwita
Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi.
Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu...
Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa...
ONYO: Maudhui ya kutisha.
BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania.
Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo...
Kupata jibu la swali hili, huna budi kutafakari Kanuni ya Uvutano (The Law of Attraction) inayofanya kazi sambamba na Kanuni ya mtetemo (The law of Vibration)
Kanuni hii nasema hivi;
"Kila kitu...
Ndiyo habari njema. Watawajibika kuwatambua watoto wao, kuwalea na most likely watoto kupewa uraia wa Uingereza.
Hii imewezekana kwa kutumia technology ya DNA paternity test.
Nadhani mtoto akiwa...