Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KIZAZI KISICHOKUWA NA KESHO: BOMU LINALOTIKISA TANZANIA KIMYA KIMYA Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Kuna maneno ambayo yamekuwa kama wimbo wa taifa usio rasmi kila mara panapotokea vurugu: “Hawa...
11 Reactions
17 Replies
886 Views
CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la...
2 Reactions
26 Replies
920 Views
Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa...
0 Reactions
4 Replies
238 Views
Salaam, Shalom! Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote. Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa...
3 Reactions
8 Replies
642 Views
Hii jamii ni ya watu wenye roho ngumu sana na wanapenda majungu na kukwamishana maofisini. Kusema kweli kazi imekaribia kunishinda huku kwa Sababu ya Waha. Samahani kama nitamkwaza mtu ila ndiyo...
17 Reactions
102 Replies
5K Views
Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
0 Reactions
7 Replies
315 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali linalo shughulikia watu wenye ulemavu la Disability Hope Maiko Salali (FDH)amepongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
1 Reactions
10 Replies
289 Views
Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko...
0 Reactions
12 Replies
590 Views
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu. Miongoni mwa...
92 Reactions
285 Replies
17K Views
Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo...
66 Reactions
137 Replies
13K Views
Kuna mjadala umeibuka kwenye mtandao wa twitter au X kuhusu tweets/posts za Abdul. Hizi ni baadhi hapa chini: kazi kweli kweli. Kwa hii tweet hapa chini: Je ni yeye tumdhaniaye?? 😆
14 Reactions
415 Replies
20K Views
TEC yalaani mauaji ya raia Oktoba 29. Yataka uwajibishwaji wa viongozi wa vyombo vya usalama, uchunguzi huru kufanyika na Katiba Mpya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tafakuri...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri. Iangalie hii ktk engo zote.
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimesikiliza hotuba ya raisi akifungua rasmi bunge la 13 na nimeona ni kama ameanza kuinama na kujisitiri kutokana na yale yaliyotokea. Je, ili achutame kabisa kiungwana na kuepuka fedheha...
13 Reactions
117 Replies
2K Views
Watanzania kati ya vitu tunavyo ni JWT ni jeshi limezingatia weledi, mbinu imara katika medani za kivita Watanzania tuna Imani na jeshi JWTZ na tunaliamini sana Wanasiasa mmeharibu kila kitu...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi...
20 Reactions
42 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku...
1 Reactions
6 Replies
359 Views
Mpaka naingia kaburini sidhani kama nitakujaga kuruhusu mtoto wangu yoyote awe polisi labda ukute hii nchi ukombozi ulishatokea Ni kazi ya laana iliyojaa uchafu, dhulma na dhambi zote kubwa za...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
Unakuta mfano kwenye page ya mange kimambi comment zinaonekana zipo elfu 2 kabla hujazifungua kusoma lakini ukifungua kusoma hazifiki hata comment 30 tatizo ni Nini huu mtandao hao wamelipwa ili...
2 Reactions
13 Replies
449 Views
Zanzibar wanalalamika nyama kilo kuuzwa elfu 16 kwanini wasifuge? Hawa jamaa wanalalamika nyama kuuzwa kilo elfu 16 lakini kwa takwimu sio wafugaji wala siyo wakulima Pemba na Unguja pana...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…