Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila siku nikipita mitaa mbali mbali ya Dar es Salaam nasikia harufu ya fresh kinyesi, hivi ni nini hasa, ukichukulia mvua sasa hivi hazinyeshi ila mitaa inanuka kana kwamba jamaa wanajisaidia...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Guido Westerwelle anatajwa kuwa ni mmoja ya wanasiasa wenye ushawishi ndani ya chama cha mlengo wa kulia cha CDU, Mapito na kufika kwenye ngazi ya utawala wa juu wa kisiasa ya Guido Westerwelle...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi ni siku ya pili leo kila nikijaribu kununua kifurushi cha MB 400 sipati naomba msaada wa kujua tatizo ni nini. Kimefutwa au ni tatizo la mtandao tu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nimepanda train kutokea Mabizo mwananchi kuelekea mjini stesheni na kujifunza yafuatayo: 1. Wale wa dada wanaokatisha ticketi ndani ya train hawana uzoefu na ni waoga, kwani walikuwa wanadai...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana nilisafiri toka Dodoma kwenda Iringa kupitia Mtera nimeshindwa kuamini kumbe hadi leo miaka 50 ya uhuru watanzania tunaishi ktk nyumba za udongo za tembe, maji ya kunywa ambayo ukiyaona tuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
nimesali leo msikiti wa idrisa kwa kweli imam leo alituomba kutoandamana baada ya sala waislam kutawanyika kwa amani na akawaomba waislam wasichokozeke, kwa kweli leo waislam wameonesha nidhamu ya...
1 Reactions
101 Replies
8K Views
  • Closed
Natoa rai kwa watawala na serekali wahangaike kuzitawala nyoyo za waislamu. Na waache kupambana na miili yao, Hakuna sehemu yoyote duniani mtawala alishinda kwa kukujilimbikizia silaha, mabomu ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua ni tatizo la wengi
17 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za asubuhi marafiki....nimatumani yangu kuwa ni njema kwa wote!...Amaini iliyopo nikwa sababu tunaitunza na tunaendelea kuilinda....kwa gharama yoyote tutaendele kuilinda!!Tuachane na...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakazi wa Mtaa wa Bigwa Sokoni (Kilakala), Manispaa ya Morogoro wameelekeza shutuma zao nzito kwa uongozi wa TANESCO Manispaa ya Morogoro kwa hatua ya shirika hili kuwaandikisha majina kitapeli na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko kariakoo. Hali mpaka sasa ni swari sana ila maduka na biashara zote zimefungwa. Watu wanashauriwa kuondoka kwa hofu ya kwamba baada ya swala ya ijumaa kunaweza kukazuka ghasia. Piki piki na...
0 Reactions
137 Replies
12K Views
Nilikuwa napitia ukurasa wa TANROADS mtandaoni na nikakuta hii kitu ya mafanikio. Si wengi watapongeza Si wengi wata appreciate Wengine actually watakasirika! Wengine watabeza Wote hao watabaki...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau ule mradi wa feri pale kivukoni unaingiza pesa nyingi sana si chini ya milioni 3 kwa siku ukiondoa zile ambazo vijana pale wanachakachua, na sijasikaga hata siku moja huyu CAG akiongelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Haya maisha ya dunia ni ya Mpito. masahaba wote walipata shida wakati wa kuitangaza dini. Kwa mfano Bilal aliteswa sana na kuwekewa Jiwe tumboni na Abuu JAHLI lkn waislam sote tunaamini BILAL...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
World Bank Africa Tanzania stands out as a model of sound economic performance with a growth rate of over six percent in 2011 and 2012. DAR ES SALAM, November 1, 2012 —The Tanzania Economic...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
juzi kati nilikuwa naangalia taarifa ya habari juu kwa juu sana nikakuta na hiyo habari inamaliziwa kusomwa so sikuweza kuelewa zaidi ila kuna jamaa yng aliniambia kuna bahati na sibu ukibahatika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sasa mamodi sijaelewa, nimeleta asubuhi mchango wangu na ukatokea na kupotea. Kwa kawaida mnasema kama ni kitendo cha makusudi. labda kichwa kilikuwa kibaya. kwa kuwa bado nadhani mawazo yangu...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
MWELEKEO wa upelelezi wa mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow umebadilika na sasa tukio hilo linahusishwa na kisasi cha mapenzi na tayari mtu mmoja anayedaiwa...
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Jaman mbona sisikii misaada ikitiririka marekani baada ya mafuriko makubwa. Kikwete fanya fasta upeleke misaada ya kibinadamu rafiki zako wanaumia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam. "kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi...
4 Reactions
82 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…