Kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni wazi kuwa Taifa letu limepitia kipindi kigumu kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Machafuko yaliyotokea yameacha majeraha ya kiroho, kihisia, na hata...
Na kama Wewe unajijua kabisa ni Mtanzania na hutaki Matatizo na Mtu kwanini ukisafiri usibebe Kitambulisho chako cha NIDA au hata vingine (Passport ikiwezekana) ili tu kusaidia Wewe kuweza...
Na tusisahau kuwa Maisha yetu Waandamanaji Masikini (nami nikiwemo) yanategemea sana kutoka Kwetu kila Siku ili kwenda kujitafutia.
Najua kwa Hasira zetu za Kimihemko hamtanielewa na mtakuja...
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa...
Baada ya siku 21 tangu kusitishwa kwa huduma ya mabasi yaendayo haraka katika barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani na Kivukoni kufuatia uharibifu uliotokea wakati wa maandamano ya Oktoba 29...
Washtakiwa 93 wa kesi za uharibifu wa mali, kufanya Vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha leo wamefikishwa tena katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza, huku upande wa Jamhuri ukitakiwa...
Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu...
Rejea kwa umakini mno Uteuzi wa Nguli wa Habari jana ambaye nina uhakika hata Wewe pia unakubaliana na CV yake, Experience yake na hasa Utendaji wake katika Tasnia.
Kuna mawili utemwe rasmi kwa...
Kwanza naomba kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye uhai wetu kwa kutuweka tuwe hai hadi sasa.
Pili nipongeze jitihanda mbalimbali za serikali, asasi za kirai, taasisi za kidini...
Ndugu zangu Watanganyika,
Tunaumia. Taifa letu linapitia maumivu makubwa, na katika wakati huu wa majonzi lazima tukumbuke jambo moja muhimu: Machozi hayana dini. Waliouawa, walioteswa...
Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu...
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa...
Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze.
Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga...
Salam Aleykum, Tuwe Pole sote kwa matatizo na misiba Iliyotukuta baina ya 29 october na 3 Nov.
Moja kwa Moja kwenye Mada..
Nchi Yetu kabla na baada ya maandamano kuna uzanzibari na utanganyika...
Aanaandika Nelson Mwambashi
Mimi ni miongoni mwa watu waoga , sawa ila natamani kuanzia mwanzo kabisa. Changamoto zilizozalishwa na siasa zishughulikiwe kisiasa.
Kwanini si muamini wa...
Treni za SGR zilizokuwa zikisafiri jioni ya leo kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar es Salaam zimepata hitilafu na kulazimika kusimama njiani, hali iliyosababisha sintofahamu...
Hii imenitokea mwenyewe kwenye Hospitali ya 5aifa Muhimbili Tawi la Mloganzila mara mbili. Mara ya kwanza sikuujua mchezo.
Mimi najilipia mwenyewe, yaani situmii bima kutibiwa. Nilikuwa na uvimbe...
Baada ya matokeo kutangazwa, tofauti na ilivyozoeleka walioshinda huwa, wanasherehekea ushindi wao, tena wa 97.6% katika historia ya nchi yetu ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea tangu tuanze kupiga...
Sikiliza hizo clip kutoka Tiktok
Zisikilize kwa mpangilio wa kinamba ndio utaelewa madudu ambayo CCM wanavyolibagaza taifa hili
sikiliza hizo clip kutoka ticktock zisikilize kwa mpangilio...
. Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa.
Matusi, kejeli na...