Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio! Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini! Iko hivi Dini yetu ya kiislam...
11 Reactions
8 Replies
464 Views
Kuanzia Lugalo, Mwenge hadi Mawasiliano kuna foleni balaa. Kama una gari usipite kabisa huku. Novemba 20, 2025 - 5:40pm update
1 Reactions
13 Replies
483 Views
Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo. But wanasahau kuwa haya makundi...
10 Reactions
100 Replies
2K Views
Kuna sheikh kasema maandamano ni haramu mbona wao waliandamana kipindi kile? Hawa masheikh sijui yanatokea wapi eti maandamano ni haramu, wanasahau walivyoandamana kupinga Necta mara maandamano...
2 Reactions
12 Replies
259 Views
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe...
3 Reactions
20 Replies
836 Views
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa...
4 Reactions
12 Replies
459 Views
Niliota kulikuwa na Ndege Aeroplane ambayo inataka kufanania na Gulfstream lakini ilikuwa imepakwa rangi za jeshi Lakini kwenye ndoto hiyo, ndege ilikuwa juu kwenye Mlima mkali wenye makorongo...
4 Reactions
6 Replies
394 Views
Hatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu Lile gari la bwana abdu bugati ya bilioni 20 ukigawa mngepata toyota ist...
8 Reactions
7 Replies
235 Views
Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi...
2 Reactions
4 Replies
247 Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema kuwa kufika kwa ndege ya kibinafsi yenye abiria 153 kutoka Gaza kwenda Afrika Kusini kutachunguzwa kwa kina. Mamlaka ya Afrika Kusini yanasema...
0 Reactions
3 Replies
241 Views
Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
0 Reactions
6 Replies
213 Views
Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
4 Reactions
10 Replies
399 Views
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa...
0 Reactions
1 Replies
259 Views
1. SIO WATANZANIA 2.WALIFUATA MKUMBO 3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE 4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji) 5.WALE NI WAHALIFU 6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI...
4 Reactions
6 Replies
292 Views
Hiki ndicho ninachokiona Mimi na ukikaa peke yako ukatafakari hili BANDIKO utakubaliana na Mimi Hawa vijana wametuzid sana sisi tuliozaliwa Mika ya 89 kurudi nyuma wengi wetu vichwa vyetu havina...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
4 Reactions
6 Replies
326 Views
Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na...
1 Reactions
2 Replies
237 Views
GT Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada...
2 Reactions
2 Replies
274 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…