Nilienda bank leo kutoa pesa maana Mambo sio Mambo tunaweza kosa pesa za kutumia kwa sababu ya upumbavu wa wajinga
Sasa nimekutana na note 3 zenye sahihi tofauti kwenye bank hii kupitia ATM...
Kiukweli inashangaza kuona jamii ikipiga kelele kudai Dkt Nawanda achukuliwe hatua kwa tukio ambalo huyu mdogo wetu (Mwanafunzi wa SAUT) kajitakia mwenyewe huku ikisahau kutoa maonyo makali kwa...
Katika ulimwengu wa habari unaobadilika kwa kasi, kinachotofautisha mwandishi wa habari wa kawaida na mwandishi shupavu si tu kalamu, kamera, au kipaza sauti—bali ni ujasiri, dhamira safi, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni kwa unyenyekevu na heshima kubwa sana kila mmoja kwa imani yake tupige Magoti na kujinyenyekeza mbele za Mwenyezi Mungu kumuombea Mtanzania Mwenzetu Profesa...
WAHALIFU DAWA ZA KULEVYA WAANZA KUTUMIA MAITI KUBEBA DAWA HIZO.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lyimo ,amesema Mamlaka hiyo imebaini kuwa...
Kipindi cha magufuli aliwahi itisha press kumtetea magu na enzi hizo magu ni mtu wa sifa na Daudi alikuwa karibu sana na Muro basi Muro akala teuzi chap ya Udc hahaha, Samia alivyoingia tu...
Nimefuta uzi naona nilichokisema wanaweza kukitumia kujustify uhalifu wao ,washinde mechi zao
Tuone mwisho wao maana kuna vitu kwa common sense tu unaweza viepusha , wameshauriwa sana...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema watu 2045 walikamatwa wakati na baada ya maandamano yaliyozaa vurugu Oktoba 29, 2025 maeneo mbalimbali nchini.
Kati ya hao, 1,736 wataachiwa...
Navikumbuka:
1. Bwana Myombekele na Bibi Bugonoka
2. This is Living and other stories
3. Miale ya kwanza ya Jua tafsiri kutoka simulizi za Soviet
4. Unyoya Wa Kipanga Azizi
5. Song of Lawino and...
Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu.
Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha...
Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona.
Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine...
Wakuu,
Leo Novemba 19, 2025 ni Siku ya Wanaume Duniani, tukisherekea uwepo wao na mchango mkubwa walionao kwetu.
Viumbe hawa wanapitia mengi sana, na mambo yao huishia moyoni! Si watu wa kuongea...
Jennifer Jovin, Niffer wewe Niffer, wallah unanikosha sana hehe; wao na matatizo yao sio habari zako, waache watulie na rozari zao wapige dua. Kazana sana, sisi Waislamu pia tupo pamoja nawe na...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania–Korea (Tanzania–Korea Business Forum)...
Pesa zinachezewa mda huu yani usijeshangaa kuona makundi yakisema wametoka gerezani wakimshukuru mama yao asiye wazaa.
Script ya udini imebuma,sasa wa wasanii wanaogopa nao ila naona UVCCM...
Imekuwa kawaida kwa watu kuficha ujumbe kwenye codes ili tu ufikiwe na kundi lengwa.
Vivyo hivyo Mungu naye hutumia Codes kuwafikia watu wake.
Code yake ni Roho wake. Ukiwa naye unafahamu mambo...
Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali.
Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na...
Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote...